Search results

  1. MUSONI

    Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  2. MUSONI

    Amchoma mwenzie kisu baada ya majibizano Tips Lounge

    Tips pub Mikocheni inaonekana sio sehemu salama sana sasa baada ya jamaa anayejulikana kama Andy Senkoro kuchomwa kisu mithiri ya kuchinjwa kwenye pub hiyo Sasa yupo ICU Muhimbili tumuombee…. Ishu nzima ilikuwa hivi Hawa jamaa walikuwa wanakula na kunywa pamoja kwa muda na kujadiliana kuhusu...
  3. MUSONI

    Elimu kuzuia picha automatic save in phone

    Naomba elimu hizi smart phones na esp WhatsApp watu wanashare photos m,bali mbali na zinajisave automatic kwenye galley....how do I avoid this inajaza simu na un wanted photos... SAIDIA ELIMU HIYO.... 2. HAPA UNAJUAJE GENDER YA MEMBER HE/SHE
  4. MUSONI

    YANGA CHAGUA VIZURI

    TWENDE NA DAKTARI WA YANGA KWA MAENDELEAOOOOOOOO
  5. MUSONI

    UCHAGUZI WA YANGA CAMPENI RASMI LEO

    HAYA HAYA TWENDE NA Dr WA MICHEZO NA MTU MAKINI KUTUVUSHA HAPA TULIPO..... CHAGUA DR TIBOROHA KWA MAENDELEO ENEDELEVU YA YANGA..... Don't waste your vote on 13th Jan 21019 TIBOROHA OYEEEEEEEEEEEEE
  6. MUSONI

    TANZIA: Kato Katunzi afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari

    Mpendwa wetu Kato Katunzi usiku wa kuamkia leo kafariki dunia kwa ajali mbaya ya gari. Mipango ya maziko inafanyika. Taarifa nyingine zitafuata... ==== Kato Katunzi amepata ajali na kufariki Dunia usiku wa kuamkia Leo huko Mbezi beach. Mwili wa marehemu upo hospital ya Mwananyamala. Msiba upo...
  7. MUSONI

    Serikali kuhakiki vyeti upya...

    Hii nimeiona EATV KUNA UKWELI GANI KATIKA HILI sasa hakuna kufanya kazi tena ni uhakiki tu mwenye ukweli atwambie ========== Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A. Mtunguja imetangaza kuanza leo Februari 28 zoezi la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na sita...
  8. MUSONI

    YANGA OYEEEEEE

    Lazima walale kwao....TUONE KAMA MIKIA NA JEZI ZAO za malingo watatoka....HAJI MANARA...
  9. MUSONI

    Simba walikoroga usajili wa Mavugo

    LAUDIT MAVUGO KUIPONZA SIMBA SC FIFA? VITALO ' O WANG'AKA Na Samuel Samuel Wakati Simba SC wakiiweka rehani leseni ya beki wa kulia wa Young Africans Hassani Kessy kuichezea timu hiyo kwa kile kinachodaiwa mchezaji huyo na klabu ya Young Africans kukiuka mkataba wa awali wa klabu hiyo na...
  10. MUSONI

    Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

    Mawakili waliweka application ya kureject the money laundering charge..so mawakili wasomi wameweka nondo zao..hakimu atayafanyia kazi yote yaliyosemwa na kutoa maamuzi tar 22..so wataendelea kuwa rumande mpaka uamuzi utakapotolewa.
  11. MUSONI

    Mh Magufuli kiboko

    Hakamatiki kila atoapo hotuba utaona kitu ndani ya mdomo kichwani na moyoni. Asante Mungu kwa zawadi hii .
  12. MUSONI

    Re; kazi nssf.

    Wapendwa habari za kazi, naomba mwenye taarifa atujuze KUNA WAKATI JANUARI AMA DEC TULIFANYA INTERVIEW "WRITTEN" Hapo IFM Madarasa yote kwa kazi mbalimbali NSSF wengine tunaona kimya kama imetoka tujuzane. Siku njema.
  13. MUSONI

    Nssf kazi vipi?

    Wadau salam, naomba mwenye taarifa za KAZI ZA NSSF TULIFANYA INTERVIEW kwenye madalasa ya IFM, mwezi uliopita tunaona kimya ama wamekwisha chukua kimya kimya...mwenye taarifa atujuze.
Back
Top Bottom