Serikali kuhakiki vyeti upya...

Serikali kuhakiki vyeti upya...

MUSONI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
904
Reaction score
692
Hii nimeiona EATV KUNA UKWELI GANI KATIKA HILI sasa hakuna kufanya kazi tena ni uhakiki tu mwenye ukweli atwambie

==========
Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A. Mtunguja imetangaza kuanza leo Februari 28 zoezi la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na sita kwa watumishi wake, kufuatia kupata taarifa uwepo watumishi ambao wanavyeti feki

Taarifa ya Katibu Tawala imesema kuwa wameamua kurudia zoezi hilo la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita ili kuwabaini watu ambao bado wananufaika na malipo ya serikali licha ya kuwa na vyeti feki

Barua_2.jpg
 
hakuna haki bila wajibu sasa unatakaje haki ya mshahara wajibu wako wa kusoma hukuutekeleza?
 
Sawa ngoja bwana jinga lao aje
 
Mbona hilo sio jambo la ajabu kwa serikali hii
 
Waliokusanya vyeti hawajarejeshewa inakuaje wahakiki tens. Watahakiki nini
 
Kama una vyeti safi hakuna haja ya kuogopa,
 
Hii nimeiona EATV KUNA UKWELI GANI KATIKA HILI sasa hakuna kufanya kazi tena ni uhakiki tu mwenye ukweli atwambie

==========
Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A. Mtunguja imetangaza kuanza leo Februari 28 zoezi la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na sita kwa watumishi wake, kufuatia kupata taarifa uwepo watumishi ambao wanavyeti feki

Taarifa ya Katibu Tawala imesema kuwa wameamua kurudia zoezi hilo la kuhakiki upya vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita ili kuwabaini watu ambao bado wananufaika na malipo ya serikali licha ya kuwa na vyeti feki

Haya mambo ifike mahali yawe na ukomo
 
Back
Top Bottom