Hata mimi ! Agrrr!Hiyo heading na story ni tofauti, nilijua umeshusha nondo za ukweli wa kesi nje ndani.
Hivi kama wamechukua hizo hela wakanunulia kwa mfano mashamba Kigamboni ,inakuaje ni money laundering ? Naomba ufafanuzi tafadhaliKubeba CASH $$$$$ kwenye mifuko ya sulphate ni money laundering; hapo hawachomoki!!!
Rex ATTONEY ni kampuni yao wenyeweMpaka tare 22, loohhh!!! Former miss Tz namuonea huruma. Kama vipi case yake niibebe mimi.
Wapi kule migombani?Dah siamini huyu mzee Kitilya na nyodo zake leo ananyea ndoo,mzee jirani yangu huyu.
Hivi kama wamechukua hizo hela wakanunulia kwa mfano mashamba Kigamboni ,inakuaje ni money laundering ? Naomba ufafanuzi tafadhali
Rex ATTONEY ni kampuni yao wenyewe
akina MWANAIDI SINARE
EVE HAWA SINARE
watahonga hata kwa bilion tano ili tu watoke hii familia sio mchezo
,
Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,Ndio hasa Money laundering. Maharamia wa Somalia wanateka Meli then pesa wanazopata wanajengea majengo nairobi halafu wanapangisha wafanyabiashara wakiwataka kodi zao walipie direct bank za Kimarekani. Hapo tayari pesa chafu wamefanikiwa kuziingiza kwny mfumo rasmi na zinaonekana safi halafu zinanunulia hisa na kufanya mambo mengine ikiwa ni pamoja na kununua silaha
Yaani nilijua hapa kuna manondo za hatariHiyo heading na story ni tofauti, nilijua umeshusha nondo za ukweli wa kesi nje ndani.