Japo mimi nipo Team Membe lakini Magu ni balaa,Hakamatiki kila atoapo hotuba utaona kitu ndani ya mdomo kichwani na moyoni.
Asante Mungu kwa zawadi hii .
Team M; Yule aliyezinduka njozini "akaropoka mawili; matatu" kisha akaingia kwenye shimo la fuko?!Japo mimi nipo Team Membe lakini Magu ni balaa,