Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini bado nafasi ya kwenda utaipata. Huwezi kusema samahani naomba nije kuchukua keshokutwa, huwezi sema nitakuja jioni naomba...
Matangazo ni swala muhimu kwa kila biashara. Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa.
Naamini wewe kama mjasiriamali unafahamu kuwa kuna wakati bajeti ya biashara inakuwa imebana.
Hivyo swala la kujitangaza linakuwa na...
Mahusiano ni maisha, Katika Kipindi ambacho bado upo Duniani Huwezi kukwepa Kutafuta Mwenza,
Sasa Usifanye Kosa la Kulazimisha mapenzi, Yatakula Furaha yako ,Yatakula Muda wako na yatakuondolea hadi Mood ya kupambana Kimaisha.
Tafuta wa Saizi Yako.
Wa Saizi Yako ki uchumi
Wa saizi yako Ki...
Hizi hapa njia ili kufanikiwa kuanza biashara yoyote mtandaoni
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kuanza biashara yoyote mtandaoni basi nakukaribisha kwenye makala hii, Kupitia makala hii nitakwambia mambo ambayo unatakiwa kujua kabla ya kuanza biashara hiyo ikiwa pamoja na njia za...
Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi kujua namna ya kuwa na Brand inayouzika.
Maana ya Brand
Branding ni namna ya kutengeneza HISIA chanya mbele za hadhira. Ni namna...
Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
• Fedha ni dhambi.
• Watu wenye fedha ni wabinafsi.
• Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu.
• Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha
• Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka.
Mara zote watu wanaokwepa gharama katika maisha yao huwa ni dumavu kimaendeleo. Hakuna...
Mimi Naishi Dar es salaam, Nina Mdogo watu Yupo Dodoma Mpwapwa.
Juzi Mwezi Huu wa 09 / 2021 alipigiwa Simu na Mtu anaemfahamu kabisa.
Akamwambia Kuna Ajira imepatikana kwake na Angetoka kimaisha kwa Kufanya hiyo kazi.
Jamaa Akamueleza Kuwa Asafiri Kwenda Kigoma ili akampe huyo mchongo,
Sasa...
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.
Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha.
Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.
Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.