Hakuna watu wenye vinyongo, chuki, wivu na hasira na waliokata tamaa kama maskini vitendo vyote hivyo ni Chukizo mbele za Mungu• Fedha ni dhambi.
• Watu wenye fedha ni wabinafsi.
• Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu.
• Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha
• Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
Point ya nne ni kweli kabisa• Fedha ni dhambi.
• Watu wenye fedha ni wabinafsi.
• Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu.
• Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha
• Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
Safi sanaUTASIKIA....
*pesa ni za shetani
*hua hawafanikiwi hivi hivi
*Ukitaka utajiri lazima uchague kua mtu wa shetani.
*tajiri akifiwa katoa kafara
*ukiyumba kiuchumi kakosea masharti
hasa maskini wa fikra hawa ndo wapuuzi zaidi maana huamini mambo mazuri ni ya shetani sijui mungu hawezi anashindwa kubariki akati yeye ndo mmiliki wa vyote
• Fedha ni dhambi.
• Watu wenye fedha ni wabinafsi.
• Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu.
• Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha
• Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
Labda wewe ndio unaamini hivyo• Fedha ni dhambi.
• Watu wenye fedha ni wabinafsi.
• Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu.
• Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha
• Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k