Bila gharama hakuna mafanikio

seifutz

Member
Jul 18, 2021
34
113
Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka.

Mara zote watu wanaokwepa gharama katika maisha yao huwa ni dumavu kimaendeleo. Hakuna mafanikio ya kweli bila kutumia gharama. Kama unawaza mafanikio without cost basi hiyo ni ndoto iliopoteza uhalisia.

Utawekeza vipi kama huna gharama?. Utafanya vipi kazi kama hutaki kutumia gharama. Hata familia huwezi kuanzisha kama hutaki kutumia gharama. Gharama ndio maisha na maisha ndio gharama. Tumia gharama ili upate thamani yenye gharama.

Siri ya mafanikio ya chochote katika hii dunia ni wewe kuacha uvivu na kutokwepa gharama.

Hakuna mafanikio ya shortcut katika hii dunia, chochote unachokiona leo kimesimama basi kuna watu walitumia gharama zao na muda wao kukisimamisha. Amini kwenye gharama na toka kwenye shortcut kwasababu shortcut huwa haina matokeo mazuri.
 
Haya ndo madini tunatakiwa tupe,siyo kulana kimasihara.✌️

Utawekeza vipi kama huna gharama? Utafanya vipi kazi kama hutaki kutumia gharama. Hata familia huwezi kuanzisha kama hutaki kutumia gharama. Gharama ndio maisha na maisha ndio gharama. Tumia gharama ili upate thamani yenye gharama.

Hakuna mafanikio ya shortcut katika hii dunia, chochote unachokiona leo kimesimama basi kuna watu walitumia gharama zao na muda wao kukisimamisha.

Amini kwenye gharama na toka kwenye shortcut kwasababu shortcut huwa haina matokeo mazuri.

#elimika
 
Ni kweli mkuu, hata Mo nae ametumia gharama mpaka kufikia pale alipo!
 
Jana kuna jamaa mmoja huwa anafika sana Rwanda alikuwa ananiambia pale Rwanda hadi makuli wana lipa kodi kwa shughuli za ukuli..ila nchi hii yetu tunaendelea kulia kasungura kadogo huku tunatamani maendelleo kama ya ulaya ..
 
Kuna wanaotumia gharama kubwa ila wanaangukia kifo cha mende. Tuseme gharama na akili ya hali ya juu. Hata hivyo kuna rafiki yangu alitumia gharama na utaalamu wa hali ya juu ila kafeli! Kulikoni? Au Mungu ana upendeleo?
 
Back
Top Bottom