Search results

  1. H

    Kwanini uandamane tarehe 24 Januari,2024

    Duuh!!!!! Upo ? Haya toa tathimini Yako Sasa juu ya maandamano!!!
  2. H

    Kwanini uandamane tarehe 24 Januari,2024

    Sababu hizo ni baadhi tu ya chache kati ya nyingi zitakazonifanya niandamane tarehe 24 Januari,2024 Jijini Dar Es salaam.
  3. H

    Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai. Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
  4. H

    Deni la TANESCO na TPDC kuhamishiwa Serikalini, huyu CHADEMA kaongea kitaalamu sana

    DENI LA TPDC Huu ni mkopo wa shirika kupitia hazina kutoka EXIM BANK CHINA kwaajili ya mradi wa gesi wa mtwara na songo songo kuja Dar lakini ilipofika DAR badala ya kumalizia usambazaji wa gesi kwa watumiaji ili wapate hela waanze kulipa deni wamebadili mradi sasa wanazungumzia LNG !! Laini...
  5. H

    Jaji ashauri Wakili Kibatala kuongea na CHADEMA ili kesi ya akina Halima Mdee imalizwe nje ya Mahakama kama alivyoomba Nusrat

    ITV ya wapi iliyoripoti habari hii? Mbona mnahangaika Sana ? Wacha inyeshe pajulikane panapovuja ! Mtu hata Kuapa Mahakamani hajaapa,ika amekuwa Mbunge, hajui aliapa Dodoma au Dar! Hajui alijaza fomu namba ngapi za kuwa Mbunge! Hajui fomu zilitolewa lini ! Yeye alipata fomu kabla hata Bunge...
  6. H

    Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Mkuu wa majeshi amestaafu, mlitaka Uhuru asiteue Kwa sababu ana Muda mfupi kabla ya kuondoka ? Jeshini hapana ombwe ! Ndio utaratibu Duniani pote !
  7. H

    Hii ndio inaitwa kuupiga mwingi, gharama za bando zimepanda tena

    Mawaziri wako busy kusambaza mitungi ya gesi ,Mwingine alikuwa anatembelea chopa za Jeshi kuweka vibao vya mitaa! Wengine sijui wako pande ipi, akimaliza wa gesi atakuja Yule wa visiwani, sijui atakuwa na ubunifu upi Ila atakuwa na ziara !
  8. H

    Putin destroys Boris Johnson and plots the collapse of Britain

    BoJo , atakuwa KoJo Muda sio mrefu!
  9. H

    Hayati Magufuli aliwapenda sana CHADEMA, vinginevyo angekifutilia mbali. Ila kwa sasa kinaweza kufutwa na Msajili wa Vyama

    Obituary! kama hizi ziliwahi kuandikwa Sana, wewe sio wa Kwanza na haitakuwa WA mwisho kuandika
  10. H

    Rais Samia Mteue Prof. Muhongo awe Waziri wa Madini, Dotto Biteko ahamishiwe Wizara ya Ardhi, Mabula apigwe chini

    Wewe umetumwa? Kumbuka Mhongo aka Muongo ! Aliwahi sema wtz hawawezi kumiliki uchumi wa gesi! Huyo Prof . Hovyo! Mabula, unataka atoke Kwa sababu ya jinsia yake ? Ili baadaye ujenge hoja ya wanawake hawapendani!
  11. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Labda anatafuta njia ya kujitoa kugombea ili amwachie Mwenye sifa zaidi yake !
  12. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Kwamba anaogopa kamera au ?
  13. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Anataka kuwapa dawa chungu ! Akili Ku mkichwa !
  14. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Mawakili vijana jipangeni kwenye kufanya maamuzi !
  15. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka
  16. H

    Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

    Kasome Katiba ibara ya 71(1)(e) .........
Back
Top Bottom