Nina shauri kwa suala la Wamachinga, Viongozi mtafuteni Rehema Nchimbi awasaidie ushauri na jinsi ya kuweka utaratibu mzuri katika kuwapanga machinga.
Kwani Mama huyu aliweza kutenga maeneo, kupanga na kuweka utaratibu mzuri Sana kwa machinga wa Dodoma, kipindi akiwa Mkuu wa mkoa. Tulifanya...
Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo.
urahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati.
Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza.
Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia .
Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3.
Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu...
Habari za leo, napenda kukuulizeni TAA & TANROADS Ni lini MTATULIPA FIDIA wadau tuliofanyiwa uthamini toka mwaka 2018 ili kupisha ujenzi wa UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO?
Habari za jioni.
Kwa wanaohusika na malipo ya fidia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato -Dodoma mtatulipa lini fidia hiyo miaka inakwenda ardhi na vilivyomo havituzalishii toka mlipohakiki mara ya kwanza mwaka 2018 ni miaka mitatu,
Sasa je, mtaongeza kiwango cha fidia au ndo mtatulipa...
Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA)
kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini?
-DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.