Search results

  1. Alwatan Mabruki

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani. Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa...
  2. Alwatan Mabruki

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea. Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa...
  3. Alwatan Mabruki

    Uchaguzi 2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
  4. Alwatan Mabruki

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

    Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
  5. Alwatan Mabruki

    Rais Magufuli achochea kuimarika kwa sekta ya biashara

    Mara baada ya nchi yetu kupata uhuru iliamua kufuatia mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea na ilipofika mwaka 1967 lilitangazwa Azimio la Arusha ambapo njia kuu zote za uchumi zilikuwa zinamilikiwa na kusimamiwa na dola ikiwemo mifumo rasmi ya masoko ya mazao. Mashirika mbali mbali yaliundwa...
  6. Alwatan Mabruki

    Tanzania na Uchumi wa Kipato cha Kati

    Mataifa yenye kipato cha kati ya dola 1,006 hadi dola 3,955 kwa mtu mmoja hutajwa kuwa Mataifa yenye kipato cha kati, lakini yaliyo na uchumi mdogo huku yale yenye kipato cha kati ya dola 3,956 hadi dola 12,235 yakidaiwa kuwa mataifa yenye kipato cha kati yenye uchumi unaoimarika. Muhimu: Ni...
Back
Top Bottom