Search results

  1. Miyeyusho

    Wakati tunawalaani na kuwaonyeshea kidole Mashoga, Vipi kuhusu wala mashoga? Jamii hatuoni kama kuna hoja ya msingi ya kujadili hapo?

    Habari za muda huu wana jamvi? Nimejaribu kuangalia kwa makini sana juu ya jambo hili la ushoga linavyoleta vuta ni kuvute katika ulimwengu. Nimejaribu kuangalia pande zote, za watetezi na wapingaji wa jambo hili. Jambo limeleta mivutano mikubwa sana haswa kwa nnchi zetu za africa. Naona kuna...
  2. Miyeyusho

    Mwenye hujuzi wa Skrill naomba anisaidie

    Habari za saa hizi wadau. Samahani, kwa wale wenye hujuzi wa Skrill naombeni mnisaidie, Ni document gani unakumbuka uliwasilisha kwenye kipengele cha Adress Verification na wakakubali. Maana kila document ninayowasilisha wananikatalia. Naomba ambaye aliwahi kulifanikisha hili alishauri...
  3. Miyeyusho

    Msaada wa hiki kitabu

    Mwenye Hard copy ya hiki kitabu tafadhari. au mtu ambaye anaweza kunielekeza pakukipata.
  4. Miyeyusho

    Dhana ya kipato kuimarisha mahusiano au ndoa

    Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
  5. Miyeyusho

    Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

    MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki. MIMI...
  6. Miyeyusho

    App ya kimapenzi Tanzania

    Habari wakuu? Mambo vp? Ebwana leo nimeona niwashirikishe jambo fulani na nyinyi nipate mawazo yenu na nijue pia taratibu za kisheria zimekaaje katika hili na naweza kuanzia wapi? Nimefikiria kuanzisha App ya kusaidia watu kukutana mtandaoni baina ya jinsia mbili tofauti, wenye shida ya...
Back
Top Bottom