Miyeyusho
Member
- Aug 14, 2020
- 24
- 36
Habari za muda huu wana jamvi?
Nimejaribu kuangalia kwa makini sana juu ya jambo hili la ushoga linavyoleta vuta ni kuvute katika ulimwengu. Nimejaribu kuangalia pande zote, za watetezi na wapingaji wa jambo hili.
Jambo limeleta mivutano mikubwa sana haswa kwa nnchi zetu za africa. Naona kuna wanaolitaka na wanaolipinga. Pia nimeshangaa zaidi adi hapa kwetu jamii kubwa wanalipinga hili ila wapo wanaolikingia kifua japo sio wengi ila wapo.
Sasa kitu ambacho bado ninamaswali zaidi juu ya jambo hili ni kwamba wengi wanaolizungumzia wanazingumzia kwa Shoga mwenyewe, ila hawagusii kabisa kuhusu "Wala Kiboga". Wakati tunatupilia laana juu ya mashoga basi vyema zaidi kuwatupilia laana na wala kiboga pia.
Najaribu kuwaza ni watu wa aina gani, panapokua na wimbi kubwa la mashoga basi naamini wala mashoga watakua mara mbili yake. Na nimepokea visa vingi sana vya mashoga kufundishwa mchezo huu na hao watu wakiwa zaidi kwenye lika la la utoto.
Kwa wale mashoga wanajaribu kusema labda ni homon na majmbile ya mtu, vipi kuhusu wala kiboga?kuna mwanaume anayezaliwa na homon za kutamani kula kiboga?inauzunisha kwakweli.
Naamini kama hii vita itaanzia kwa wala kiboga na kuhakikisha kabisa nnchi haina wala kiboga ata mmoja, si wakulazimishwa wala wakupenda kula kiboga basi mm naamini ushoga utakoma. Na utakosa soko kabisa. Mwishowe utaisha.