Waungwana, Salamu!
Kuna rafiki yangu wa karibu anasumbuliwa na ganzi mwilini hasa mikononi ni Kali. Siku za nyuma alipata lower back pain, akatibiwa, akajiona kupona. Hivi karibuni akifanya mazoezi, akashtua LBP akapatwa na ganzi Kali mwili mzima, miguu na kiuno kuwa dhaifu! Katumia sawa; ganzi...
Kweli ni mateso. Kana kwamba unaomba mkopo wa fadhila! Dhana ya Uhuru wa kweli bado ni ndoto na iko mbali. Kama kusema kweli kuna gharama, heeh... (backlash)!
Bro. Mshana Jr. nipe mwangaza, mfano: nina page ya Facebook nk. ninaandika somo la lugha, afya,nk. kwa kuelimisha jamii nk. Hapo, Bro., nahitaji leseni?
Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA).
Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk.
Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui...
Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi?
Naomba kufahamu hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.