Search results

  1. D

    Mapenzi wangu atumie lotion gani

    Naombeni ushauri mpenzi wangu ametoka rashes fulani kama za baridi baridi anasema kuna mafuta alitumia yamemuharibu msaada wenu tafadhari ngozi yake irudi kama awali!! Nakaribisha comment mapovu ruksa!! Ila hayatajibiwa
  2. D

    Nifanye nini kuhakikisha nakuwa sio mvivu kwenye kusoma?

    Kutokana na matatizo mbali mbali niliyopitia mwaka wa kwanza chuo semester ya pili yamevuruga akili yangu imekuwa sio ile yenye nguvu kila kitu kwangu naona uvivu tu hadi kushika daftar Nipo mwaka wa pili semester 2 uvivu umenitawala jamani naomba counseling yoyote kama Upo tayari kunisaidia...
  3. D

    Nataka tu nitulie now

    .
  4. D

    Ubinadamu kazi sana ungekuwa wewe ungefanyaje

    Maisha ya shule jamani! Nipo hostel room tupo wawili wawili jamani mwezangu hajui kununua ndala za kuogea.semister ilopita tumetumia zangu hadi zikakatika zilivyokatika akawa anaazim next room badae mi nikaamua kununua nyingine akaachananaz zile za next room akaendelea tena kutumia zangu...
  5. D

    Nasoma uhasibu, napata changamoto kuona kila kitu kigumu. Naomba kusaidiwa kisaikolojia

    Modes mniwie radhi nimefuta huu Uzi kwa ma main purpose poleni kwa usumbufu ulojitokeza
  6. D

    YouTube shughulikieni hili

    Video kujifungua zenyewe kama Instagram zinatuharibia MB cause there are many things in YouTube so not everything you can watch we are just watch in interest. So please do this.
  7. D

    Naombeni ushauri

    Nimeachana na mpenzi wangu lakini nilifahamika kwao kwa sasa nipo shule nimeondoka bila kuwaaga wazazi wake na nilishawazoesha nikiondok nawaambia nikirudi nawaambia. Nimerudi sasa nifanyeje jamani mama ake ananitafutag ata sasa kwa sim japo sina mahusiano na mwanae japo mwanae nina mawasiliano...
  8. D

    nifanyeje juu ya uyu X wangu

    jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
  9. D

    Naombeni ushauri kuhusu huyu X wangu

    Tuna mwaka sasa hatuna mawasiliano mazuri yani kila mtu anaendesha life lake, nikijikeep busy ananitafuta message zake sasa oh nimekumiss mara nilitaka uje huku mkoani ninakoishi maana tunaishi mikoa tofuti. Tutafululiza kuchati chati siku mbili badaye anakaa kimya hata hakutext muda wote...
  10. D

    Anaejua chuo cha IT chochote kile na utaratibu wake

    Naomba kufahamu vigezo vinavyoangaliwa kama unataka kusomea IT na vyuo husika Tanzania vinavyotoa hii course Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
  11. D

    Uliweza kuishi vipi katika mazingira kama haya?

    Jamani baba yangu ni mtu wa kupayuka payuka muda wote, kitu kidogo tu anaongea mimi sipendi hii tabia yake anaweza akafoka foka kumfokea mama, sisi watoto mbona hii hali inanichukiza sana. Na sio kusema labda kanywa kidogo hamna, anaweza akawa poa tu lakini akafoka ukichelewesha tu chakula...
  12. D

    Harmonize na wimbo wake wa Jeshi wenye biti la nyimbo ya Chege, Twenzetu

    Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye kali-modify kidogo limekuwa zito flani ila ni lilelile la kina Chege. Ukitaka kuamini ingia YouTube...
Back
Top Bottom