Nataka tu nitulie now

Nataka tu nitulie now

Wenzako ndio wanakomaaga kwenye hizo familia wewe unataka kukimbia, lol

Ninachokiona kwako ni HUJIAMINI, umempita umri, amekupita elimu, amekupita kipato so what wewe ni mwanamke jiamini, jikubali, jipende,

Jipeni nafasi kama kuna real love kati yenu basi mtafika mbali,

Btw, Kufanya sex ni starehe yenu wote usijihisi kama unamplease yeye au anakutumia, as long as nyote mnaenjoy basi jiachie.
 
Hivyo tu ndio vinakufanya uone Hana future na ww au Kuna kingne na ndio unataka uachane naye , KWA hiyo unataka mwenye maisha ya kawaida Ili mpambane au...kila la heri
 
Una akili, hekima na uelewa kidogo japo ni mzembe saana!! mapenzi hayachagui umri wala utajiri au umasikini ila ni hisia na mapenzi ndani yake, Unapenda kuishi kwa amani na huru, bila kuwa tegemezi kwa mtu na tamaa (AKILI), Umeona ni bora uachana naye kwa kuona tu hamuendani ni vyema saana sababu wote mnakuwa mmeokoa muda wenu na hujawa na tamaa ya utajiri wao (HEKIMA), Unaonekana huwa unaingia sana katika nahusiano ambayo sio sahihi inawezekana hujawahi kuwa kwenye mahusiano na ukaelewa au kuona dhamani yake (UZEMBE SAANA)

Nakushahuri ujaribu kuingia katika mahusiano sahihi, sijui umri wako ila naona kabisa kuwa unahitaji kutulia na hata kuingia katika ndoa ila tatizo unakutana na watu ambao wao hawajawa na malengo kama yako (POLE SAANA)

Kama hutojali nakuomba PM nikushauri kitu binafsi ambacho sio vyema kuandika hapa
 
Huyu boy leo nataka nimtie kibuti sitajali ataongea nini naona tu hatutafika mbali tangu niachane na ma X sijatulia kabisa xo saizi nataka nitulie kabisaa yani niwe single tu kwani nimeona hamna faida yeyote ile zaidi ya ku sex tu!

Mana nikimuangalia awezi kuwa ma future Mimi nimempita umr 2 years yani hatuwez tu fika mbali upande wa life kwao life lao liko juu sana means ma rich hatuwezi fika mbali ujue unapokuwa na mtu try kuangalia na familia yake family yangu ni ya kati sio rich sio poor wao ni pure rich wakitaka kutravel ni kwa ndege tu na masters zimewajaa sasa Mimi na diploma yangu ni aibu naona hatuwezi tu kwenda mbali hata nikimpenda ye kasoma degree ya ( ) yani naona kama tunasex tu at the end kila MTU anaingilia kwake au wewe unanishauri nn?

Sababu ni life lao kuwa high kingine umr wake alafu analile life la kizungu la kuspend mi sijazoea naona naumiza kichwa tu
Hujatulia wewe
 
Back
Top Bottom