Mapenzi wangu atumie lotion gani

Duduke

Senior Member
Jul 12, 2020
112
104
Naombeni ushauri mpenzi wangu ametoka rashes fulani kama za baridi baridi anasema kuna mafuta alitumia yamemuharibu msaada wenu tafadhari ngozi yake irudi kama awali!! Nakaribisha comment mapovu ruksa!! Ila hayatajibiwa
 
Ni kama muundo huu sema kama vikubwa
Screenshot_20201031-212329_1604168697641.jpg
 
Ungewatafuta wataalamu wa hayo mambo vinginevyo unaweza ukambadilishia mafuta kila kukicha hapa sio mahala sahihi saaana!! Kwa kupata msaada
 
Ungewatafuta wataalamu wa hayo mambo vinginevyo unaweza ukambadilishia mafuta kila kukicha hapa sio mahala sahihi saaana!! Kwa kupata msaada
Ok thank u!! Ye anasema amebadilisha mafuta meanx kuna mafuta alikuwa anapaka kaacha
 
Hiyo picha ya kushoto mbona kama fenesi?! Au macho yangu tu?!
Chige ni vipele t ivyo sijui ni ugonjwa gani ata mi nimechukua hii picha nimweleweshe huyu chizi aliyekatwa masikio na ubongo wake ulocheza kipindi yupo mdogo haelew namwambia ma baby katoka vi rashes uson kama vya baridi alibadilisha mafuta kakazana ukimwi ukimwi wakati yemwenyewe CD 4 zishamshuka hajielewi kazi kuchunguza CD 4 za wengine wakati zake anashindwa kuzi maintain zisishuke
 
Hahaha swali la kwanza lililonijia kichwani ni hilo tayari ana mpenzi na ashajua ana matatizo ya ngozi?
Shida ya nyie kila mwenye magonjwa ya ngozi HIV mtu asipate infection kidogo HIV tubadilike! Ndo nyie mnaoogop kupima!! Kakitu kadogo tu kwenye mwili HIV
 
Ebu tubadilikeni ukimwi ni kama homa zingine msiwe addicted ivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom