Search results

  1. Meneja Wa Makampuni

    Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Undergraduate: There are UG research positions available (CHG 4900, NSERC USRAs, volunteer). Postdoctoral Applicants: Postdocs interested in joining our group will require their own fellowship support, such as NSERC PDF. Graduate: Multiple fully funded PhD (30 000 CAD/year) and MASc (25 000...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Hicho ndio tunachokitaka mkuu. Kama anacheza movie ichezwe uhalisia kama hivyo
  3. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Omond ni very creative huyo jamaa lakini hawa wakwetu hapa bongo wanajitoaga akili tu hawana creativity.
  4. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Kwani Kuna tatizo gani mkuu hilo swala liko ndani ya chama mimi sioni shida akizungumza hivyo.
  6. Meneja Wa Makampuni

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Samsung S10 5G ya mteja mmoja tayari imefunguliwa kwaajili ya kuihakiki.
  7. Meneja Wa Makampuni

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Simu Brand New zimefika BONGO tayari, tayari kwa kudeliver kwa wateja wetu walio agiza. Kuagiza simu mpya kutoka China tupigie au tutafute Whatsapp kwa namba 0687746471.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua? Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Usiku huu umekuwa mgumu sana

    Wewe mbona una qualify kupata ufadhili jiunge na hawa jamaa huwa wanapost matangazo ya ufadhili: Follow the ScholarshipJunctionX channel on WhatsApp: ScholarshipJunctionX | WhatsApp-Kanal
Back
Top Bottom