Search results

  1. F

    Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  2. F

    INAUZWA Wall Pannel - ukuta wa kisasa

    Wale watumiaji wa kuta za kupachika yaani 'Wall pannels' za kisasa, ninazo za kutosha. Njoo Tabata Segerea nikuuzie. Simu: 0755726772
  3. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na kupelekwa kuuza mashine yangu. Lakini toka mwaka huu uanze nimekuwa nikipokea oda za mbao Ila...
  4. F

    Duka zuri la Chainsaw Dar

    Samahani wakuu, naomba kujua duka zuri la chainsaw original kwa Dar na bei zake zikoje? Specification zake za chainsaw iliyo bora kwa ukataji wa miti mikubwa bila kukwama.
  5. F

    Nauza mitungi ya gas empy

    Ipo 10 na ni ya kampuni ya mihan(5) na oryx(5)! Midpgo ipo 8 na mikubwa miwili. Yote ipo songea ukihitaji nakuletea usafiri kwa mikoa ya dar njombe, makambako, iringa, morogoro na mbeya ni rahisi zaidi mana gari ziko nyingi
  6. F

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini. Lengo langu nipate mtu atakayekuwa...
Back
Top Bottom