Duka zuri la Chainsaw Dar

Duka zuri la Chainsaw Dar

Fkm2020

Member
Joined
May 19, 2020
Posts
68
Reaction score
53
Samahani wakuu, naomba kujua duka zuri la chainsaw original kwa Dar na bei zake zikoje?

Specification zake za chainsaw iliyo bora kwa ukataji wa miti mikubwa bila kukwama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom