Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

Fkm2020

Member
May 19, 2020
62
125
Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na kupelekwa kuuza mashine yangu.

Lakini toka mwaka huu uanze nimekuwa nikipokea oda za mbao Ila mashine Sina na vijana wangu wanalia kazi n nying hvyo ningepata mashine nipo tayar kuingia ubia wa kugawana faida na kurudisha mtaji wa mashine hyo kwa muda mfupi Sana.

Nadhani nimeeleweka Ila pasipo uelewa nipo tayar kuulizwa wadau.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,448
2,000
Naomba utaje na eneo uliko ili kupanua wigo wa kusaidika kwa wepesi
 

Hawaki

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
571
1,000
Weka namba zako. Nnazo Husqavana 4 zinafanya kazi Mafinga ningekupa 2 kama terms zingekuwa nzuri ila vijana wa kitanzania ni wa hovyo sana. They can't be trusted. Wanalewa mafanikio mapema na haraka sana.
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,196
2,000
Weka namba zako. Nnazo Husqavana 4 zinafanya kazi Mafinga ningekupa 2 kama terms zingekuwa nzuri ila vijana wa kitanzania ni wa hovyo sana. They can't be trusted. Wanalewa mafanikio mapema na haraka sana.

Umemaliza mkuu, katika kitu kinakatisha tamaa kwa watanzania ni kukosekana kwa uaminifu, Mtu unaogopa kuinvest au kuingia ubiya na mtu kwa kuhofia kutiwa change la macho.
 

Hawaki

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
571
1,000
Umemaliza mkuu, katika kitu kinakatisha tamaa kwa watanzania ni kukosekana kwa uaminifu, Mtu unaogopa kuinvest au kuingia ubiya na mtu kwa kuhofia kutiwa change la macho.
Hawana maana kabisa. Don't trust them ever never. Angekuwa trusted wala wasingelia ajira. Ila mpe project asimamie aaagh. Utajuta
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,099
2,000
Nkipata hata moja sawa au mbili sawa pia
Sema proposal yako in full utakua unalipaje, malazi je, chakula vipi, ikiharibika je, Ni kwa mkataba au utakua unalipa per day. Tatzo mmekua waongo waongo Sana habari laini nyingiiiii lkn kwe field wapigaji. Je upo chama gani maana Kama Ni CCM wezi sana
 

Fkm2020

Member
May 19, 2020
62
125
Wakuu nasoma comments lakin sio Mara zote unaweza hisi kila mtu anaweza kuwa mwizi japo unaweza kuwa sawa Sabu ya mazingira uliyowahi kukutana nayo Ila siwezi ongea Sana zaidi ya kuomba mwenye Nia ya kuniwezesha tukutane tuweke terms za kimkataba tufanye kazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom