Search results

  1. B

    Posho ya usumbufu na posho ya kujikimu

    Asante kwa ufafanuzi. Kwa hiyo nikitaka kudai hizo pesa za usumbufu nilikotoka nafanyeje? Naandika barua? Kuna haja ya ku-note vitunguu vya sheria kwenye barua hiyo? Naomba Kama kuna uwezekano wa kupata kifungu cha sheria ili inisaidie kufuatilia hilo.
  2. B

    Posho ya usumbufu na posho ya kujikimu

    Kama umehama ndani ya wilaya moja je? Kuna gharama ya kujikimu n.k unalipwa?
  3. B

    Je, hawa ni ndugu au anaweza kuoana?

    Habari zenu, Nina bwana wangu ambaye mjomba wake amemuoa shangazi yangu. Tumekuwa na mahusiano kwa muda sasa. Nataka nifunge nae ndoa, je tutakuwa na sisi ni ndugu? Au kuna uwezekano wa kukataliwa ndoa kwa sababu ndugu zetu wameshaona? Au tutaweza kuoana bila changamoto yoyote? Naombeni...
  4. B

    Posho ya usumbufu na posho ya kujikimu

    Habari za saa hizi wanaJF. Naomba kujua, unapohamishwa kikazi bila kuomba kwa mtumishi wa umma, ni stahiki zipi inatakiwa kulipwa? 1. Kuna posho ya usumbufu Hii inatolewa unapotoka au unapoenda? 2. Pesa ya kujikimu kwa muda gani? Hii inatolewa unapotoka au unapoenda? Au Kama kuna stahiki...
  5. B

    Eti ni kweli kuna undugu?

    Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
  6. B

    Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

    Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
  7. B

    Viwanja Mlandizi

    Niaje wadau. Kuna kampuni imekuja kutangaza kuwa inauza viwanja Mlandizi. Ikatoa na ramani na inasema unaweza kulipa kidogokidogo ndani ya miezi 18 unatakiwa uwe umemaliza. Sijawahi kufika huko Mlandizi Ila kampuni ina ofisi na hata namba za akaunti na simu walizotoa zimesajiliwa kwa majina ya...
  8. B

    Naomba msaada, kasi yangu ya uelewa darasani imepungua

    Punguza mawazo mengine. Concentrate na masomo.
  9. B

    Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    rwakatale ameshasema hagombei ubunge, mbona jina lake lipo,?
  10. B

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Niaje wadau? kwani mitazamo yenu au mtazamo wako korona inategemea kuisha lini? na uchumi kurejea tena utachukua muda gani? ndege zianze kuruka tena na kadhalika. hebu nipe mtazamo wako.
  11. B

    Kwa hali hii niliyonayo nahisi naenda kuumbuka kwa mwanamke msaada

    badilisha mindset yako. huna tatizo wewe.
  12. B

    Hamis wa BSS - Hata kama umedhulumiwa, sio busara kuwatukana waandaaji wa BSS

    kibaravumba, Inategemea. kama walimdhulumu haki yake ya pesa anapaswa kuwaita hivyo. kama hakudhulumiwa basi amekosea.
  13. B

    Je, huruhusiwi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama school candidates kama huna jumla ya total points kwa O Level?

    the muter, hata kwenye daladala walisema hivyo, ila wamesema utaratibu umebadilika toka mwaka juzi.
  14. B

    Je, kuna kipi unakosa ukifanya mtihani wa Form 4 au 6 kama Private Candidate ambacho School Candidate anapata? Naomba tofauti

    Wana JF, Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private candidate hapati? Ni kweli grades za private ni kubwa kuliko za School? Nini hasa tofauti zake?
  15. B

    Je, huruhusiwi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama school candidates kama huna jumla ya total points kwa O Level?

    Habari wana JF. Leo nilikuwa kwenye daladala asubuhi nikasikia mama mmoja analalamika kuwa mwanae amesajiliwa kama private candidate kwenye mtihani wa form six. Sababu anasema kuwa mwanaye hajafikisha points 25 kwa matokeo yake ya form four pamoja na kurisiti, kurisiti, yaani ukichukua jumla...
  16. B

    Je, unaweza kuajiriwa tena serikalini endapo uliachishwa kazi?

    Niaje wadau. Hivi unaweza kuajiriwa tena kama ulikuwa umeachishwa kazi serikalini. Kwa maana kufukuzwa au hata pengine kuacha mwenyewe? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom