Search results

  1. Levels baby

    USHAURI: Walimu wakatwe mishahara tuwaongezee Wahudumu wa Afya

    Kutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya. Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu...
  2. Levels baby

    Rais Magufuli una nguvu sana mtaani jiamini

    Rais wa nchi yangu pendwa ninaekuandikia hapa huu uzi ni mwananchi wa kawaida na mwana CCM mwenzako kwa hiyo nilichokiona ni ukwel uliopo inatakiwa ujiamini nao na naomba ukubaliane na ombi langu ili kuwaonesha wapinzani kuwa wewe kweli kipenzi cha watanzania. NILIYOYAONA - Wamachinga...
  3. Levels baby

    Graduate wa UDSM huwa anajiamini popote pale

    Naandika kwa ufupi. Nimefanya kazi katika kampuni mbalimbali kabla ya kuingia serikalini na kuwa mtumishi wa Umma ambaye mwakani naachana na kazi hii niifanyayo na kuwa mjasiriamali huko Tukuyu Mbeya mana baada ya research ya kutosha nataka nikapande zao la maparachichi. Pia hali ya hewa ya...
  4. Levels baby

    Rais Magufuli suala la viwanda tungeachana nalo limeshatushinda

    Nimeleta bandiko hili sababu toka juzi nimekuwa na survey kwenye mkoa wa Pwani kwa ajili ya uwekezaji ambao tumeamua kama familia ya mzee Mundele tuwekeze katika nchi yetu na tuonyeshe uzalendo katika sera ya Rais wetu mzalendo Dr. John Pombe Joseph Magufuli, lakini nilichokikuta kiukwel...
  5. Levels baby

    Kuna ulazima sheria kuhusu utumishi wa umma ibadilishwe

    Nimerudi tena, Wanajamvi haya ni maoni yangu na nimekaa nimeona niyaandikie ili mwaka 2021 kama mwenyezi mungu atatuweka hai nitayapeleka mahakamani ili kuomba sheria ibadilishwe na kuyawasilia Bungeni kwa katibu wa bunge kuomba pia lijadiliwe kama pendekezo kutoka kwa mwananchi wa kawaida...
  6. Levels baby

    Ni kweli wachaga hawazikagi kipindi cha sikukuu ya Christmas?

    Leo nikiwa katika kijiwe nongwa na wazee wenzangu wanywa kahawa hapa Mbezi Beach Tankibovu, amekuja dereva mmoja wa daladala ya Ubungo - Tegeta na kuulizwa na wenzie kuwa mbona leo hujaingia mzigoni akajibu tuna msiba. Sasa ikabidi aanze kutiririka kuwa boss kafiwa na mama yake mzazi toka jana...
  7. Levels baby

    Rais Magufuli, haina haja ya kuongeza mshahara kwa watumishi wa Umma

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mwana CCM asilia sio wa kuja kama wapiga gitaa hapo ndani Lumumba na mtaani ili mradi mkono uende kinywani na wengine kuanzisha vikundi vya kwaya/blogs kwa ajili ya kumsifia mkuu wa nchi ili wapate chochote maana wameujua udhaifu wa mkuu wa nchi. Turudi kwenye...
  8. Levels baby

    Ushauri: Msiwapeleke watoto wenu shule za bweni mpaka angalau afike umri wa kujitambua

    Ushauri huu umekuja kwa kuyasikia mawili matatu kwa watu wangu fulani ambao wenyewe kutokana na ubize walionao waliamua watoto zao wasome shule za boarding ingali bado wadogo, sasa watoto wamerudi wanafanya michezo ambayo hata mzazi hajawahi kuifanya kwa hofu ya mungu. KISA CHA 1 Nina rafiki...
  9. Levels baby

    Rais Magufuli ifikapo 2026 utashangazwa na mengi

    Natumai mzima huko chamwino kwenye makazi yako mapya maana kwa habari tulizonazo wana mtandao ni kuwa umeamua kuhamia rasmi na ndugu zangu makao makuu oysterbay pale wiki ijayo asilimia 90% wanaondoka. Na umewaambia ukirudi baada ya mapumziko ya sikukuu hutalitaka tena jiji letu pendwa ila...
  10. Levels baby

    Wakati wao wasanii na watangazaji sasa kuishi maisha halisi

    Nadhani kwa tuliyoyaona jana pale viwanja vya posta kijitonyama ni dhahiri kusema umefika sasa wakat wasanii wafaidike na kazi zao na waishi maisha halisi,wame fake imetosha ni wakati wa wao kupata kile walichokitumikia kwa muda mrefu. Kiufupi Clouds imewapa wasanii na watangazaji majina...
  11. Levels baby

    CCM asilia hatukubaliani na yanayoendelea katika chama

    Wanajamvi, Kwenye hili linaloendelea katika uchaguzi wa mwaka huu,mimi nikiwa kama mwana CCM lakini ile asilia ambayo inaheshimu sana msingi wa demokrasia na tunaheshimu maneno kuwa hakuna ushindi mtamu kama kushindana katika jukwaa huru na kila mtu apewe nafasi. Nikiri kwamba hamna kosa ambalo...
  12. Levels baby

    Hivi Ally Mufuruki kwanini anajiamini sana?

    Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
  13. Levels baby

    Manchester city asipochukua UEFA msimu huu asitarajie tena huko mbeleni

    Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga tu kupata matokeo . ukiachana na zile takataka ambazo hazishiliki kabisa UEFA,mana hata zingekuwepo...
  14. Levels baby

    Nahitaji kujua maendeleo ya miradi hii

    Ndugu zanguni mimi kama mtanzania kuna muda inatakiwa nifahamu kodi yangu inatumikeje na kile tulichokiwekeza kinatupa faida gani na kimefikia wapi. Maswali yangu ni; Uwanja wa ndege Chato - Hapa nahitaji kujua kuna root za ndege gani huko mana tulishaambiwa uwanja umekamilika ndio tungoje...
  15. Levels baby

    Tarehe ya leo ya kukumbukwa sana

    Katika siku ambazo tumeshindwa kupumua ni leo mana tumechanganywa na vitu vingi kama watu walipangana 1. Mond na Kiba kumekucha 2. Aunt Ezekiel kufungiwa bar yake baada ya kurudiana na timu WCB. 3. Idris kuleta povu kubwa mtandaoni kwa viongozi baada ya kumtania mtukufu wa nchi. 4. Kule Jose...
  16. Levels baby

    WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

    Naona boss Diamond hataki kukubaliana na ukweli kuwa Kondeboy kaondoka katika umiliki wake mpaka kutaka kutumia nguvu kubwa kutaka kumzima dogo huku amesahau kuwa alimfundisha njia zote ili arithi kiti chake, lakini alishindwa kucheza game ambayo ni fair kwa mfundishwaji. Nikukumbushe...
  17. Levels baby

    Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

    Katika mishe mishe zangu za kila siku huyu ni mtu ambae lazima nionane naye mara kwa mara, sasa kutokana na hali yake kwa sasa toka Mjasili muongoza njia atangulie mbele ya haki naona kijana yangu hayupo sawa. Kila siku ni kushinda studio kwa S2kizzy na kukopa kiduka cha Mangi pale nje ya...
  18. Levels baby

    MATAGA tunadhalilishana sana

    Hili ni mara ya nne naona humu ndani tunadhalilishana na kuonekana wote hatuna akili kisa kauli ya kenge wachache kupewa nguvu kwenye msafara wa mamba. Nianzie hapa, ndugu zangu Chama changu kina vijana wa kila aina na kila sekta ambao wana upeo mkubwa sana katika kudadavua mambo lakini kwa...
  19. Levels baby

    Nataka kupeleka barua kwa Askofu Ruwa’ichi aifikishe kwa Papa ili tulegezewe masharti ya ndoa

    Tangu mwaka huu nimejaribu kufanya research moja kubwa sana kwa hawa watoto wa kike katika Makanisa na kwenye mikutano mbalimbali kama kwenda Makanisa ya Romani (Makuburi, Kibangu, Msewe, Chuo Kikuu, Segerea) na ya kilokole(KKKT Mbezi mwisho, Kimara Korogwe ibada za Jumamosi na Ijumaa), kwa Leah...
  20. Levels baby

    Wanawake kuweni makini na wanaume wa namna hii

    Kwa kifupi Leo nahitaji kuwashauri watoto wa kike kuwa pale ukifika muda wa kuolewa unatakiwa kuwa makini na mwanaume alielelewa na mzazi mmoja zaidi mwanamke(single mother) au mwanaume alietoka maisha ya kimasikini sana haraf wamepata pesa. Maana wanakuwa ni watu wasiokuwa na mapenzi sahihi...
Back
Top Bottom