Wakati wao wasanii na watangazaji sasa kuishi maisha halisi

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
768
Nadhani kwa tuliyoyaona jana pale viwanja vya posta kijitonyama ni dhahiri kusema umefika sasa wakat wasanii wafaidike na kazi zao na waishi maisha halisi,wame fake imetosha ni wakati wa wao kupata kile walichokitumikia kwa muda mrefu.

Kiufupi Clouds imewapa wasanii na watangazaji majina makubwa lakini imefanya waishi maisha fake kwa kuwanyonya kwa muda mrefu sasa njia imeanza kuonekana kwa bwana mdogo mwanamapinduzi Baba Lao,kuleta show yake na kuwa kubwa vile aisee wengine tumefurahi sana.

KIKUBWA
- Waache kukumbatia wasanii wapige show sehemu itayomlipa vizuri sio huyu wa clouds mara huyu wa wasafi .

- Diamond ajipe muda kama anavowapa wenzie ili isionekane show ni yake peke yake ili kuleta usawa.

- Babu tale aache kauli za kutengeneza bifu za wasanii mfano mwaka jana alimtusi Fid Q kitu ambacho kitamnyima uhuru wa kupafomu kwa wasafi sababu anaona kama alishakosewa mwanzo.

- Clouds waache chuki mana wanachokichukia ni media ya boss wao vilevile,sababu wote tunajua kusaga ndie mmiliki wa wasafi ila hana uhuru kwa clouds sababu ya familia.

- Wanasiasa wakae pembeni sisi wananchi tucheze mziki na wasanii wetu,sio leo kiongozi fulani anaonekana yupo upande ule sijui huyu kule hapana.

MWAKANI MUNGU AKITUJALIA TUTAKUWA NA

- FIESTA FESTIVAL

- WASAFI FESTIVAL

- MZIKI MNENE FESTIVAL

- TIMES FESTIVAL

- KONDE FESTIVAL

- KINGS FESTIVAL

Ni muda wa wasanii na presenters kupata faida katika kazi zao mana fully kupandishiwa dau katika hizo media.
 
Mkuu kila kitu mbona ilikuwa poa,wasafi festival wasanii wakubwa waliosahaulika wamepewa nafasi ambao hata Tigo fiesta walisahaulika.

Diamond ilikuwa halali yake kuperform mda mrefu maana ndo mwenye hits nyingi na wengi wameenda Kwa ajili ya hits za diamond
 
Mkuu kila kitu mbona ilikuwa poa,wasafi festival wasanii wakubwa waliosahaulika wamepewa nafasi ambao hata Tigo fiesta walisahaulika.

Diamond ilikuwa halali yake kuperform mda mrefu maana ndo mwenye hits nyingi na wengi wameenda Kwa ajili ya hits za diamond
Kikubwa tuombe mungu redio zingine nazo ziamke
 
Tukumbushañe tu mmiliki halali wa wasafi
Tunalitambua vizur yote ni kutokana na ruge alikuwa king kuliko kusaga pale clouds sasa kumbuka yote ya yote mond ana nguvu kuliko mke wa kusaga bado saga lile lile tu
 
Hapo ndio wanakwama wasanii wetu...Angalia show akipiga meek mill au 2chainz unawekewa mzigo juu ya mzigo mpaka unafurah..hakuna mikono juu
Nimeona akina mboso na lava lava walivyokosa mwelekeo baada kupewa muda mfupi .walixoea wasemeshe watu na kuwaimbisha!
Kwangu walioperform vyema ni wageni wetu ,twanga na academia,bi kopa ,prof feruzi chid haroun na nature wasaf wameniangusha
 
Tunalitambua vizur yote ni kutokana na ruge alikuwa king kuliko kusaga pale clouds sasa kumbuka yote ya yote mond ana nguvu kuliko mke wa kusaga bado saga lile lile tu
 
Levels baby

Ivi kuna kanuni na sheria za sanaa zenye kulinda haki za ma producers?? Je inawapa nguvu na mwanya wa kuwa na hakimiliki za beatz zao kutokana na ubunifu na brainstorming ya akili zao kupika mziki uliobora? Ni wasanii tu na watangazaji wanaopaswa kufaidika na sio hili kundi lisilofikiriwa?

Haki na ubunifu wa beatz zao zinawapa haki ya mrahaba katika kila Nyimbo msanii atakayo perform katika Tamasha? Ni ma producer wangapi wanakula jasho lao for lifetime kutokana na Ubunifu wa beatz zake? Ni wangapi wanakula Mrahaba wa beatz zao?

Tuangalie na upande huu wa kuwapika akina Mustard, Dre na swiss Beatz wenye kuishi real life piah.

WE CAN NEVER UNCHAIN THE FAKENESS IF SMALL GROUP OF PEOPLE STILL LIVE IN A CHAIN LIFE.
 
Mk
Tukumbushañe tu mmiliki halali wa wasafi
Mke wa Kusaga si yo mmiliki pekee wa Wasafi Media. Yeye ni majority shareholder tu. Anao wamiliki wenzake wawili ambao nao ni wanahisa.
 
Back
Top Bottom