Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
768
Katika mishe mishe zangu za kila siku huyu ni mtu ambae lazima nionane naye mara kwa mara, sasa kutokana na hali yake kwa sasa toka Mjasili muongoza njia atangulie mbele ya haki naona kijana yangu hayupo sawa.

Kila siku ni kushinda studio kwa S2kizzy na kukopa kiduka cha Mangi pale nje ya studio huku tunaomjua tunajisemea weka umaarufu pembeni tafuta kazi mbona wenzie wakina Cpwaa, Stereo, mh.Temba walikubaliana na matokeo wakaamua kuajiriwa.

Kutwa kushinda studio za kurekodia bure na pale godfather wao Quick Racka akisema naanza kuwatoza hela wote watakimbia kama mlivyofanya kwa Nahreel.

Tafuta kazi kijana hata kapange ma file kwa Mh Makonda ili upate chochote.
 
Katika mishe mishe zangu za kila siku huyu ni mtu ambae lazima nionane nae mara kwa mara, sasa kutokana na hali yake kwa sasa toka Mjasili muongoza njia atangulie mbele ya haki naona kijana yangu hayupo sawa.

Kila siku ni kushinda studio kwa S2 kizzy na kukopa kiduka cha Mangi pale nje ya studio huku tunaomjua tunajisemea weka umaarufu pembeni tafuta kazi mbona wenzie wakina Cpwaa, Stereo, mh.Temba walikubaliana na matokeo wakaamua kuajiriwa.

Kutwa kushinda studio za kurekodia bure na pale godfather wao Quick Racka akisema naanza kuwatoza hela wote watakimbia kama mlivyofanya kwa Nahreel.

Tafuta kazi kijana hata kapange ma file kwa Mh Makonda ili upate chochote.
Mzee baba safi ila hebu nifungue macho kidogo amani temba anafanya kazi wapi kwa sasa
 
Katika mishe mishe zangu za kila siku huyu ni mtu ambae lazima nionane naye mara kwa mara, sasa kutokana na hali yake kwa sasa toka Mjasili muongoza njia atangulie mbele ya haki naona kijana yangu hayupo sawa.

Kila siku ni kushinda studio kwa S2kizzy na kukopa kiduka cha Mangi pale nje ya studio huku tunaomjua tunajisemea weka umaarufu pembeni tafuta kazi mbona wenzie wakina Cpwaa, Stereo, mh.Temba walikubaliana na matokeo wakaamua kuajiriwa.

Kutwa kushinda studio za kurekodia bure na pale godfather wao Quick Racka akisema naanza kuwatoza hela wote watakimbia kama mlivyofanya kwa Nahreel.

Tafuta kazi kijana hata kapange ma file kwa Mh Makonda ili upate chochote.
Duh jamaa kumbe anakopa ..vp studio y s2kizzy iko sinza ipi
 
Back
Top Bottom