Manchester city asipochukua UEFA msimu huu asitarajie tena huko mbeleni

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
768
Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga tu kupata matokeo .

ukiachana na zile takataka ambazo hazishiliki kabisa UEFA,mana hata zingekuwepo zisingeweza kumzuia jamaa namaanisha(Arsenal na Man U).
 
subiri mpaka walau robo fainali wakutane na timu za maana, sio hao kina atalanta kwenye kundi la vibonde
 
Msimu uliopita ndio walitakiwa kuchukua tafauti na msimu huu...

Na msimu huu uwezokano wa kutoka mapema upo mkubwa tuu tofauti na msimu uliopita.
 
Mambo hubadilika lile n kombe la watu wazma city hawezi hata kumfunga ajax, vp kina atletico wanaweza uwasha moto usiamini
 
Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga tu kupata matokeo .

ukiachana na zile takataka ambazo hazishiliki kabisa UEFA,mana hata zingekuwepo zisingeweza kumzuia jamaa namaanisha(Arsenal na Man U).
Manchester City anaubora gani?
Uefa yenyewe kila mwaka kwenye group stage anapangwa na timu dhaifu zote, cheki hata hata kundi lake la mwaka huu ni timu dhaifu sana, mtoano ukija chali . Huo ubora wa Manchester City uko wapi?
 
Timu gani barani ulaya ina unafuu kuizidi Man city
 
Muda...?

Misimu yote mitatu iliyopita nayo sio muda...? Yani huyo akikutana na vigogo utamuonea huruma Pep Guardiola na Citizens yake.

Msimu uliopita ndio walikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua hilo kombe kutokana Timu nyingi kubwa kuwa hoi...

Lakini msimu huu moto unawaka mkuu
Muda utaongea
 
Tungoje
 
Back
Top Bottom