CCM asilia hatukubaliani na yanayoendelea katika chama

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
768
Wanajamvi,
Kwenye hili linaloendelea katika uchaguzi wa mwaka huu,mimi nikiwa kama mwana CCM lakini ile asilia ambayo inaheshimu sana msingi wa demokrasia na tunaheshimu maneno kuwa hakuna ushindi mtamu kama kushindana katika jukwaa huru na kila mtu apewe nafasi.

Nikiri kwamba hamna kosa ambalo tunajuta na hatutakuja kulirudia tena kama tulichokifanya mwaka 2015, kamwe hatuji kurudia tena katika maisha yetu na hata wajukuu tutakaowaachia hiki chama mana tulipokosea tumepaona.

Tunawaomba radhi wananchi hatuji kurudia tena makosa haya kamwe.
 
Sasa hivi "BBC" na "VYOMBO VYA KIMATAIFA" wanaonesha na kupigia kelele ujinga unaofanyika nchini Tanzania (Kwa kifupi "WANAFUKUA MAKABURI". Hongereni "CCM MPYA" kwa kuichafua nchi yetu kwa ujinga mliofanya toka 2015, na kwa kuendekeze kupelekeshwa kama mang'ombe yalio "HASIWA".

JIWE anapowapeleka mtaipata safari hii. Ndio mwisho wenu umefikia.
 
Screenshot_20191108-222422-picsay.jpeg
 
CCM asilia imesajiliwa wapi?

Ofisi zenu ziko wapi?

Viongozi wenu kina nani?

Mlifanya makosa gani mpaka unaomba msamaha?

Inaonekana unajipachika jina ili hoja zako zionekane zina nguvu za hoja kwa watu wasiojua sheria ya vyama vya siasa!

Haaa haaaa, nadhani mitume wa jiwe mngempata huyo mwanaccm kama kweli ni mwanaccm mngemtupa kwenye kiroba usiku huu huu. Ila ukweli ni kuwa ccm asili iliyokuwa inaamini demokrasia kwa mbali, huu upuuzi unaoendelea hivi sasa chini ya ccm academia wanaona aibu ya hatari lakini ndio hivyo wameshikiwa chini. Naona praise timu wenzako wanamwaga povu la hatari hapo juu maana huu ushenzi wa sasa hivi kuna wanaccm wengi hawakubaliani nao, japo wako kimya.
 
Hakuna CCM asilia wala CCM mataga. Nyie wote ni walamba miguu wa jiwe
Sio CCM wote tunafanya hivyo, wengi wa wanachama wa miaka hiyo ambao mtoa mada amewaita CCM asilia hawakabuliani na haya yote ingawa wako kimya tu. Kiufupi wale wenye shughuli zao na wakaamua kutokuwa mazombie tunalaani sana. Tunatamani siku moja wazee wetu waongee pengine watasikilizwa
 
Mmejikatia tamaa kabisa. Mbona hatuwasikii akina Membe kwenye hili sakata?
 
CCM asilia imesajiliwa wapi?

Ofisi zenu ziko wapi?

Viongozi wenu kina nani?

Mlifanya makosa gani mpaka unaomba msamaha?

Inaonekana unajipachika jina ili hoja zako zionekane zina nguvu za hoja kwa watu wasiojua sheria ya vyama vya siasa!
Unajitoa akili wakat michezo yote unaijua
 
Sasa hivi "BBC" na "VYOMBO VYA KIMATAIFA" wanaonesha na kupigia kelele ujinga unaofanyika nchini Tanzania (Kwa kifupi "WANAFUKUA MAKABURI". Hongereni "CCM MPYA" kwa kuichafua nchi yetu kwa ujinga mliofanya toka 2015, na kwa kuendekeze kupelekeshwa kama mang'ombe yalio "HASIWA".

JIWE anapowapeleka mtaipata safari hii. Ndio mwisho wenu umefikia.
Tumekaa kimya tuna maana kubwa sana
 
Back
Top Bottom