MATAGA tunadhalilishana sana

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
769
Hili ni mara ya nne naona humu ndani tunadhalilishana na kuonekana wote hatuna akili kisa kauli ya kenge wachache kupewa nguvu kwenye msafara wa mamba.

Nianzie hapa, ndugu zangu Chama changu kina vijana wa kila aina na kila sekta ambao wana upeo mkubwa sana katika kudadavua mambo lakini kwa bahati mbaya wasio na akili ndio wanapewa nguvu za kutuongoza wenye akili mpaka inafika wakati unaona bora ukae pembeni.

Huwezi kuamini hili nimelikuta Tweeter lakini jana tu tumetoka kubishana kuwa hiki kitatu cost wasio na akili sababu wamepewa nguvu kutuongoza wenye akili katika kitengo chetu basi wamefanya ujinga wao na umewa backfire.

IMG_20191024_143713.jpg
 
Mmmh naona kunashida somewhere, Juzi/Jana pia wametoa tangazo la ujio WA Ndege nyingine chakishangaza Leo waziri kakanusha hiyo habari Na kuamru aliyetangaza asakwe, so vingapi wananchi wanalishwa vya uongo?
 
Mataga ni nini........?.......
Kila mahali naona hii.......
 
Back
Top Bottom