Search results

  1. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    ________________________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND) NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, na kimechapishwa mnamo mwaka 2005. KUHUSU MWANDISHI...
  2. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    EPISODE ONE ________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND). NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, ambaye ni milionea, mwandishi na mzungumzaji maarufu...
  3. Napoleon the second

    Majibu sahihi ya swali la msingi "nifanye biashara gani?"

    MAJIBU SAHIHI YA SWALI LA MSINGI "NIFANYE BIASHARA GANI?" NA, LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya BIASHARA mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "NIFANYE BIASHARA GANI?" # LEO NIMEONA KUWA...
  4. Napoleon the second

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  5. Napoleon the second

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Ndugu yangu hoja hapa sio aina ya biashara unayotaka kufungua, hoja kubwa hapa ni kwamba, "how do you see yourself in that business?" Kwa maana nyingine ukijiangalia, kujipima, kujitathimini na kujikagua ndani mwako mwenyewe unajiona unaweza kuwa bora kwenye biashara gani kati ya hizo ulizo...
  6. Napoleon the second

    Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    Ahsante sana kwa kunitia moyo ili niendelee kuchambua vitabu vingine.
  7. Napoleon the second

    Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    Ahsante kwa kushukuru pia mkuu wangu
  8. Napoleon the second

    Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    Ahsante pia na wewe ndugu yangu@Pendaelli kwa kujifunza maarifa haya kwa undani zaidi ni kweli kitabu kimetumia lugha ngumu but nimeona nikieleze kwa lugha nyepesi ili tunaotafuta maaarifa tujifunze vyema na twende pamoja 2024 hakuna kumuacha mtu nyuma.
Back
Top Bottom