episode

An episode is a narrative unit within a larger dramatic work or documentary production, such as a series intended for radio, television or on-line consumption.

View More On Wikipedia.org
  1. cutelove

    Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa. Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa. Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee...
  2. Nigrastratatract nerve

    Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  3. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    EPISODE ONE ________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND). NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, ambaye ni milionea, mwandishi na mzungumzaji maarufu...
  4. Melubo Letema

    Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  5. Kuchwizzy

    Python Vs PHP Ipi inanifaa ? (All beginner's questions) Episode 1

    Hello Tech members Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X Au kati ya Framework Y na Framework X?" Kwa beginner, hii ni dilemma ambayo hana hakika njia ipi ni salama au sahihi kwake Kwenye Web...
  6. B

    Mwalimu Nyerere: The Father of Our Nation

    Freedom and unity Freedom and socialism Freedom and development Poverty is bad but poverty in thoughts is worse Source: Personal development How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John Stuart Mill , the guru of theory of Utilitarianism The History of Utilitarianism First published Fri...
Back
Top Bottom