Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great
minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili
kubwa hufikiri sawa sawa.’
Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila
ya wasanii husika kulitambua hilo. Unaweza
ukakuta wasanii wako sehemu mbili tofauti kwa
nyakati tofauti lakini wakatunga mashairi...
Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great
minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili
kubwa hufikiri sawa sawa.’
Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila
ya wasanii husika kulitambua hilo. Unaweza
ukakuta wasanii wako sehemu mbili tofauti kwa
nyakati tofauti lakini wakatunga mashairi...
Bro mimi ni mdau wa PB Kwa muda mrefu sana tangu haijaanza kuitwa PB enzi za SEVEN na JIMMY KABWE ,Wakaja wakina KP NA FINA na Hando akiwa msoma magazeti wao Mpaka wakaja wakina PJ & HANDO.
So naielewa vizuri sana PB na huyu Babra wa siku hizi si yule Babra wa zamani ambaye hakuwa mkali hivi na...
Kwa hyo BH siku hizi sio Mkali ?Hafoki Hafoki ? Sio busara bwana kumuita ' MLETA MAGAZETI ' hata kama jamaa hajapata mkataba bado so long as ashapata shavu la kuwa kwenye kipindi hilo jina waliminye tu.Na mimi wala sijazungumzia yeye kugombana na Kp ni jinsi tu anavyoendesha mfumo mzima wa...
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi kuonekana kuwa haina Combination nzuri ...
Kwa kipindi kama cha wiki nzima ambapo Babra hakuwepo kwenye...
Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa.
Naombeni mnisaidie kunipa dawa, kwenda hospitali naona aibu!
Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
nko mbal kdgo na vyombo vya habar,kutokan na shughul kdogo tu za kimaisha..ninaomba kujuzwa juu ya hl swala na shule zipi haswa ndio zitaanza? Kwa kuwa ninaskia kwa juu juu tu naombwa kujuzwa kwa mwenye detailz za kutosha
Ashakum si matusi Mods
Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo
Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni mstari wa makalio au makalio kabisa humo njiani,si mnaona kuwa sexy lazima muwe uchi??acheni kuiga...
Dah wana Jf honey wangu yeye ni mmoja wa wahanga wa mafuriko na amemaliza tu chuo mwaka huu pale UDSM,analia kuwa vyeti vyake vyote(chuo+A-level+0-level+primary) vmesombwa na maji hvyo anabidi tena arudie darasa la kwanza yoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.