Msaada kwa shule ya bweni yenye a level mchepuo wa cba

bishankara

Senior Member
Feb 21, 2012
140
8
Naomba wadau mnisaidie kunijuza shule nzuri ya private kwa hapa dar au mikoa ya karibu na dar inayofundisha mchepuo wa cba (a level)
 
Hiyo comb aisee mara nyingi ipo ktk shule za govt pia kwa private najua shule 1 ipo mikoa ya kaskazin inaitwa Agape.
 
hiyo comb aisee mara nyingi ipo ktk shule za govt pia kwa private najua shule 1 ipo mikoa ya kaskazin inaitwa agape.

asante mkuu, naomba data zote kuhusu results trend at least ya three to four years na pia naomba fee structure yao.
 
agape kimatokeo wapo vizuri kwa kwel but ada c chin ya 1.7 milion na kingne ni kwamba ile n seminar so wanachukua waluther peke yao.
Ushauri wangu nenda MAJENGO sio bording ila wana hostel na ada yao n kidogo na kimatokeo wapo vizuri sanaaa
 
Naomba wadau mnisaidie kunijuza shule nzuri ya private kwa hapa dar au mikoa ya karibu na dar inayofundisha mchepuo wa cba (a level)

Private kuna shule inaitwa BASHNET NADHANI IKO BABATI
GVT. Galanos, Kibiti, Kibaha, Bihawana-Dodoma,
 
agape kimatokeo wapo vizuri kwa kwel but ada c chin ya 1.7 milion na kingne ni kwamba ile n seminar so wanachukua waluther peke yao.
Ushauri wangu nenda MAJENGO sio bording ila wana hostel na ada yao n kidogo na kimatokeo wapo vizuri sanaaa

Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Je kati ya Agape na Majengo ipi zaidi? Hata hvyo dogo ni mlutheri, hivyo ikitokea agape ni nzuri itabidi aende pale.
 
Back
Top Bottom