Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa.

Naombeni mnisaidie kunipa dawa, kwenda hospitali naona aibu!

Utakatika huo umeambukizwa fungus dume, wenzako wakitaka kupiga deki hupeleka wenyewe bafuni kupiga sop sop ya nguvu na hawazamishi mpaka mashavu na pua....sasa wewe ndugu yangu loh! Bado kunuka uchi mdomoni, harufu kali kuzidi kikwapa itabidi utembee na mask ya mdomoni
 
Utakatika huo umeamvukizwa fungus dume, wenzako wakitaka kupiga deki hupeleka wenyewe bafuni kupiga sop sop ya nguvu na hawazamishi mpaka mashavu na pua....sasa wewe ndugu yangu loh! Bado kunuka uchi mdomoni, harufu kali kuzidi kikwapa itabidi utembee na mask ya mdomoni

Khaaa!!!
 
kheeee makubwa
 
Wenzenu wacheza muvi za ngono wamepima afya zao wewe unaiga tu hujui hata pedi zenyewe za bongo zinaleta fungus, usiombe awe na HPV unapata kansa ya koo. Sasa na sehemu za siri zina bacteria na fungus wake normal and balanced ila mwili wa mwanamke ukibadilika na ph ikabadilika huko balance ikicheza tu wadudu wanazidi ndo unajipeleka kuwahamishia kinywani. Hatare sana, jali afya nenda hospitali
 
Pole kiongozi. Km hiyo ni tabia yako huenda hata hujui umeyatoa wapi hayo maugonjwa yooo
 
Mkuu, pH balance ya vagina ya mwanamke healthy ni
3.5-4.5 ambayo ni slightly acidic.

Sasa kama ndo umefikia kuchibuka hiyo si vagina ni maji ya betri aisee.

images

Dah! Huu uzi wachangiaji wamefanya nicheke sana. Pole sana mleta mada, nenda hospital
 
Utakatika huo umeamvukizwa fungus dume, wenzako wakitaka kupiga deki hupeleka wenyewe bafuni kupiga sop sop ya nguvu na hawazamishi mpaka mashavu na pua....sasa wewe ndugu yangu loh! Bado kunuka uchi mdomoni, harufu kali kuzidi kikwapa itabidi utembee na mask ya mdomoni

hahahahhaaa
 
Ah ah ah ah ah uhiii pole aisee nenda hospital. Usipende kulamba hayo mavitu . hata kama unarukwa na akil jitahid uwe unazirudisha kidogo
 
Back
Top Bottom