Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi kuonekana kuwa haina Combination nzuri ...
Kwa kipindi kama cha wiki nzima ambapo Babra hakuwepo kwenye kipindi alibaki Fredwaa, Masoud kipanya na Cizar kipindi kilienda poa sana wanataniana vizuri tu kwa flow nzuri kabisa tofauti akiwepo Babra..
Kuna huyu kijana Anaitwa Cizar ni kijana mkali sana ana sauti ya kiutangazaji ana flow nzuri na anayajua mambo vizuri ila huwa anafokewa fokewa sana na Babra redion na hadi humkata Mzuka tunajua kuwa Babra wewe ndio Boss wa PB kwa sasa lakini isiwe kiihivyo sasa wewe mwenyewe Babra ulilelewa na Wakina Masoud Kipanya na Fina Mango kama wangekuwa wana ku Treat hivyo kama unavyo m-treat Cizar usingefika hapo?
Tunajua Cizar alipata shavu la kuwa PB hapo ni baada tu ya kuwa analeta Magazeti ila hadi sasa Babra anamu-acknowledge Cizar kama ' MLETA MAGAZETI ' sio kitu kizuri sana na huwa anamuumbua umbua sana na hata muda mwingine humtishia kuwa atamfukuzisha kazi Wakiwa Hewani kabisa which is not Good....
Na Babra siku hizi amekuwa muongeaji sana tofauti na Enzi za zamani ambapo ye alikuwa anaongea sehemu muhimu tu zinazom fit na kuwaachia Uhuru Pj & Hando ndo mana wali shine vizuri sio sasa utakuta KP anaongea na Fredwaa / Cizar yeye anaingilia kati na kukuta watu wanne wote wanaongea inakuwa kelele sasa...
Naona PM wa Clouds aliangalie hili Na amkanye Babra la sivyo kipindi kinapoteza Muelekeo
NA USHAURI WANGU KWA CIZAR
Kijana yupo na kipaji kama nilivyoelezea mwanzo ila nae inabidi ajifunze ajue kipi cha kuongea na kwa muda gani sio kila kitu aongee japo kuwa anajua hivyo itamfanya Kuteleza kwa vingine maana hakuna anayejua kila kitu na kutamfanya kuonekana wale watu wanaojifanya wanajua kila kitu ' MUCH KNOW '
Big Up kwa MASOUD KIPANYA GENIUS I am proud of you na nimefurahi sana kuona umerudi vizuri kwenye kipindi na kuja na Segments mpya na kali kama ' UPUUZI WA MASOUD KIPANYA ' ni pamoja na ' KUPIGA CHABO ' ...MASOUD KIPANYA KING OF MORNING SHOWS