Machizi mmeniroga remix ya Stamina kawachana hadi WCB

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
kwa wale wapenzi wa hiphop mtakubaliana na mimi kuwa remix ya machizi mmeniroga ni bonge la ngoma ambayo humo ndani wamishirikishw roma pamoja na j mo nakuifanya ngoma iwe kali zaidi kuna michano yakufa mtu mule ndani Stamina anasikika akiichana WCB nakushaur Stamina toa video kali hii ngoma usiiache iendelee kusikilizw magetoni we ni msanii ambaye huwa unapigiwa shangwe stegini
 
kwa wale wapenzi wa hiphop mtakubaliana na mimi kuwa remix ya machizi mmeniroga ni bonge la ngoma ambayo humo ndani wamishirikishw roma pamoja na j mo nakuifanya ngoma iwe kali zaidi kuna michano yakufa mtu mule ndani stamina anasikika akiichana wcb nakushaur stamina toa video kali hii ngoma usiiache iendelee kusikilizw magetoni we ni msanii ambaye huw unapigiwa shangwe stegini

Video ashafanya na Travellah wa ' KWETU STUDIO ' soon itakuwa hewani.Thanks
 
Wasanii wa hip hop wengi wana stress, nimeusikia wimbo lkn naona kama braza stamina kaishiwa mbona Jay moe kaflow vizuri, au anaona akitaja wcb ndio nyimbo itahit, mwanangu stamina unaendelea kufeli. Kinachowafelisha wasanii wengi wa hip hop ni kung'ang'ania nguzo, hizo nguzo za hip hop zimekuwa labda nguzo tano za kiislam au amri kumi ambazo zimewekwa na mungu hazibadiliki na hazitobadilika,

Culture is DYNAMIC na nyie wenyewe mnakiri hip hop ni utamaduni lkn bado mpo STATIC siku zote watu wanawachoka beat zile zile, flow zile zile mbona Joh makini, niki wa pili, warawara sijawasikia wakilalamika nashow wanapata, airtime wanakata ya kutosha. Hawajifunzi kwa moe tech na prof wamebadilika japo kuwa zamani walikuwa wanakaza kuliko wao, hebu angalia pesa ya madafu na kazi kazi zinavyopata air time, hii yote kwa sababu wamebadilika.

Nyie wenyewe mnakiri hip hop ni culture and always culture is DYNAMIC not STATIC sasa nyie mnakuwa against na hip hop kwani bado mpo STATIC na watu watachoka kuwasikiliza na mtaishia kuwachana diamond platnumz, wcb, weusi, babutale na fella ila wenzenu wanapiga ela tu, sasa sijui mkiwamaliza mtahamia kwa nani, badilikeni gem lipo fear mimi mwenyewe siku amini kama prof jay atafanya hip hop kwa mtindo wa singeli, Joh makini kufanya hip hop ktk beat za afro pop bado pesa ya madafu na sweat mangi zote hizi nyimbo kali na ukali wake umetokana ubunifu wa Hali ya juu, badilikeni.
 
kwa wale wapenzi wa hiphop mtakubaliana na mimi kuwa remix ya machizi mmeniroga ni bonge la ngoma ambayo humo ndani wamishirikishw roma pamoja na j mo nakuifanya ngoma iwe kali zaidi kuna michano yakufa mtu mule ndani stamina anasikika akiichana wcb nakushaur stamina toa video kali hii ngoma usiiache iendelee kusikilizw magetoni we ni msanii ambaye huw unapigiwa shangwe stegini
Dooh..!
Kwahiyo sababu ya Ngoma kuwa kali ni kuwachana WCB..!?
Team Tamaduni Music Forever..!!!
 
kwa wale wapenzi wa hiphop mtakubaliana na mimi kuwa remix ya machizi mmeniroga ni bonge la ngoma ambayo humo ndani wamishirikishw roma pamoja na j mo nakuifanya ngoma iwe kali zaidi kuna michano yakufa mtu mule ndani stamina anasikika akiichana wcb nakushaur stamina toa video kali hii ngoma usiiache iendelee kusikilizw magetoni we ni msanii ambaye huw unapigiwa shangwe stegini
Na yeye kaamua kupita njia ya mkato (DIAMOND/WCB) apate kiki ya wimbo wake.
 
Wasanii wa hip hop wengi wana stress, nimeusikia wimbo lkn naona kama braza stamina kaishiwa mbona Jay moe kaflow vizuri, au anaona akitaja wcb ndio nyimbo itahit, mwanangu stamina unaendelea kufeli. Kinachowafelisha wasanii wengi wa hip hop ni kung'ang'ania nguzo, hizo nguzo za hip hop zimekuwa labda nguzo tano za kiislam au amri kumi ambazo zimewekwa na mungu hazibadiliki na hazitobadilika,

Culture is DYNAMIC na nyie wenyewe mnakiri hip hop ni utamaduni lkn bado mpo STATIC siku zote watu wanawachoka beat zile zile, flow zile zile mbona Joh makini, niki wa pili, warawara sijawasikia wakilalamika nashow wanapata, airtime wanakata ya kutosha. Hawajifunzi kwa moe tech na prof wamebadilika japo kuwa zamani walikuwa wanakaza kuliko wao, hebu angalia pesa ya madafu na kazi kazi zinavyopata air time, hii yote kwa sababu wamebadilika.

Nyie wenyewe mnakiri hip hop ni culture and always culture is DYNAMIC not STATIC sasa nyie mnakuwa against na hip hop kwani bado mpo STATIC na watu watachoka kuwasikiliza na mtaishia kuwachana diamond platnumz, wcb, weusi, babutale na fella ila wenzenu wanapiga ela tu, sasa sijui mkiwamaliza mtahamia kwa nani, badilikeni gem lipo fear mimi mwenyewe siku amini kama prof jay atafanya hip hop kwa mtindo wa singeli, Joh makini kufanya hip hop ktk beat za afro pop bado pesa ya madafu na sweat mangi zote hizi nyimbo kali na ukali wake umetokana ubunifu wa Hali ya juu, badilikeni.
Wasanii wananishangaza sana badala ya kutafuta namna waweze kufija juu wenyew wana mlalamikia diamond na wao walitoka wakiwa wa kwanza kabla hata ya diamond wamezubaa game linawaacha kazi lawama
Jamani diamond na yeye ni binadamu atambeba kila msaniii
Stamina ana wivu sana nimemsikia anasema jana kwenye redio
Hana lolote
Arudi morogoro huko alikotoka asijaze wingu
 
Back
Top Bottom