Search results

  1. angomwile

    Kwenye haya mambo ya dini tulipigwa, hakuna ukweli hata kidogo

    Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo! Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima? Hii inashangaza na...
  2. angomwile

    confused!

    habari zenu wana jamvi
  3. angomwile

    fikiria hili!

    habari zenu wana jamvi natumaini nyote mu wazima
  4. angomwile

    kitambi

    jamani mwenzenu nina tatizo naona litaniletea shida hapo baadae ni hivi sasa nimeanza kunenepeana na kutoka kitambi ambacho kwa kweli sikipendi naomba mnijulishe dawa ya kukiondoa wadau.nawasilisha
  5. angomwile

    Nashukuru

    wadau mwenzenu nawashukuru sana wana jamiiforum nimepona ule ugonjwab wa amoeba sasa hivi shavu dodo usipime :)
  6. angomwile

    mke wa pili!

    Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu! Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa kuvumilia mwenzenu!
  7. angomwile

    naombeni jibu!

    :cool2:
  8. angomwile

    Housegirl!

    Jamani mwenzenu kuna beki3 mmoja namzimia kinomanoma,yani amemfunika hata mpenzi wangu hebu mnishaurini.
  9. angomwile

    Msaada dawa ya amoeba

    Jamani mwenzenu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo na kila nikipima naambiwa nina amoeba na madawa nimetumia aina zote lakini sijapata naafuu yoyote,msaada kwa anayejua tiba kamili nawasilisha.
  10. angomwile

    hii hali ni kawaida?au

    Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
  11. angomwile

    huu mtihani jamani!

    Hebu niambie ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Ni takribani mwaka sasa hali yako kiuchumi sio nzuri kifupi umefulia vibaya,siku moja anakutembelea rafiki yako mkubwa mlioshibana,usiku akiwa amelala unaona tangazo kwenye tv kuwa anatafutwa na polisi zawadi milion 100, hivi utafanyaje hapo?
  12. angomwile

    naona aibu!

    Jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
  13. angomwile

    hili ni tatizo?

    Wana jf nimekuja kwenye hili jukwaa naomba mnisaidie,kuna tatizo limenipata kama wiki hivi,kila ninapotakakuchakachuana na shemeji yenu mwanzo jogoo anawika vizuri ila nikianza tu kunanihi ananywea kabisa sasa sijui tatizo ni nini hapo mwanzo ilikuwa shwari kabisa,msaada wenu tafadhari...
  14. angomwile

    itakuwaje??

    Chukulia kwa mfano unamtumia hawara yako msg ya mapenzi halafu bahati mbaya unaisend kwa MKWEO utafanyaje?msg yenyewe ni ya mapenzi!
  15. angomwile

    Njia panda!!

    Jamani mwenzenu niko njia panda kuna msichana ananipenda sana na amenitamkia waziwazi sasa kwa upande wangu mimi simpendi na kumwambia namuonea huruma na sijawahikuchakachua nae,ila kuna msichana mwingine ninampenda sana lakini yeye hataki nimuoe coz amenizidi umri kidogo kama miaka mitano hivi...
  16. angomwile

    Mfano ndo wewe!

    Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa nae atapata raha sana!kama ni ww utafanyaje?
  17. angomwile

    Nyumba ya kupanga!

    Jamani wakuu mwenzenu nimechoka na hii nyumba,yaani kuna jamaa wa chumba cha pili ikifika mida fulani usiku wakati wanakula tunda wanaanza mikelele nyumba yenyewe haina dari, sijui nfanyeje Mchango wenu wadau!
  18. angomwile

    sijui kwanini?

    Jamani mwenzenu napenda sana kupiga chabo yaani nikiona mwanamke ameingia bafuni au chooni au anavaa nguo lazima nimchungulie yaani nasikia raha sana!mnisaidie niache hii tabia wadau!!
  19. angomwile

    inakera sana!

    Jamani wadau wa jf mwenzenu nakereka sana na hii tabia ya baadhi ya watu utakuta limtu asubhi na mapema linapiga mswaki nje tena hadharni kabisa limevaa taulo na mtumbo wake lina tema mikohozi hovyo aghh!
  20. angomwile

    nashindwa!

    jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Back
Top Bottom