Nashukuru

Nashukuru

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
156
Reaction score
83
wadau mwenzenu nawashukuru sana wana jamiiforum nimepona ule ugonjwab wa amoeba sasa hivi shavu dodo usipime
🙂
 
wakumbushe wengine, ulipona kutakana na ushauri gani ulioupata, ili wengine wachukulie wako kama ushuhuda.
 
Uache kunywa juice ovyo ovyo na matunda uchwara wanayoweka sehemu zile za kula!
 
wadau mwenzenu nawashukuru sana wana jamiiforum nimepona ule ugonjwab wa amoeba sasa hivi shavu dodo usipime
🙂

Endelea tu kunagonga ile mishikaki ya chelewa lakini usiweke kachumbari.
 
Back
Top Bottom