hili ni tatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hili ni tatizo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by angomwile, Nov 3, 2011.

 1. angomwile

  angomwile Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Wana jf nimekuja kwenye hili jukwaa naomba mnisaidie,kuna tatizo limenipata kama wiki hivi,kila ninapotakakuchakachuana na shemeji yenu mwanzo jogoo anawika vizuri ila nikianza tu kunanihi ananywea kabisa sasa sijui tatizo ni nini hapo mwanzo ilikuwa shwari kabisa,msaada wenu tafadhari naumbuka huku!
   
 2. h

  hayaka JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tatizo ni kuwa hujatulia, weka mawazo kwa mamaa acha kuwaza mambo mengine yote.
   
 3. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Masuala ya kimapenzi na tendo la ndoa ni ya kisaikolojia zaidi. Unapokuwa katika tendo unatakiwa mwili, akili na moyo wako wote uvielekeze tendoni. Siyo unawaza deni unalodaiwa na mangi wakati unatakiwa mtarimbo uingie mgodini. Inabidi ujitulize, uamini kuwa uliyenaye ndiye wako mwenyewe na kama ni mkeo wa ndoa basi hilo ni tendo takatifu, limebarikiwa.

  if you are moody don't even try it, utaishia kumdisappoint mweza wako. by the way focus on the game utafanikiwa. good luck!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  siku unapoenda naye kwenye tendo kula kilo moja ya karanga mbichi,mzinga wa konyagi,pweza wa kutosha,halafu ongezea na supershaft,lazima aombe half time
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako ni unashindwa ku maintain erection. Hiyo ni moja ya sexual (erectile) dysfunctions.

  Tatizo hilo huenda likawa ni psychological au physiological. Kwani unakuwa una wasiwasi ukishaingiza uume wako ndani ya uke wake? Kuna harufu kali labda ambayo mwenzako anatoa?
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  na tuliza mzuka ; kula taratibu zako zabibu hizo! try to talk sexy with her on the way
   
Loading...