Mfano ndo wewe!

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa nae atapata raha sana!kama ni ww utafanyaje?
 
mimi mpnz wangu hata kusubutu kuinua mdomo wake hawezi,....sembese kuniambia,.period
 
mhm...mie naona itabidi nianze kujipanga tuu taratibu kwa kupata kibuti!!!!
mkuu unajua vitu vingine vinawezekana kwa watu wengine na kwa wengine haiwekani kabisaaa,..mpnz wako atakuambiaje upuuzi kama huo
 
Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa nae atapata raha sana!kama ni ww utafanyaje?

hata kama anatikisa kiberiti lakini huna chako hapo.
 
ahahahahaaaaaaaaaaaaa!..da Canta...you made ma day_ni mpnz bubu,...anyway nina maana ataogopa kuniambia hivyo....got it right?
yahh! kizuri kipewe sifa zake! bora uyo sio mnafiki,hakupaki mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Anza kumpigia huyo rafiki yako ndogondogo haraka sana!! Wakutanishe halafu uwaachie nafasi.. Wewe ukaanze moja.
 
Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa nae atapata raha sana!kama ni ww utafanyaje?
Sidhani kama una haja ya kupanic sana mkuu..
Manake tayari kaishakuondolea mashaka kuwa atakayeolewa naye atapata raha sana..hofu ya nini tena!!..Je? kama hakwambii hivo lakini tayari anamfeel rafiki yako??..
Nadhani sio vizuri kila wakati kufikiri 'negatively'..kwa maana hiyo hata wewe huwezi kumsifia shemejio..mfano:mdogo wako mtulivu sana atakayemuoa kapata mke!!..ina maana huwezi sema hivyo???
 
mi ntaelewa kuwa anayoyasema ndivyo lafiki yangu alivyo.kama kweli ana hizo sifa anazosema nitamuunga mkono lakini kama anadanganya ntamkatalia.
 
duh,hapo hamna kitu na inaonyesha kama ukimpa mgongo,anaruka na mwingine,
 
Inawezekana akawa amemsifia tu jamani,,kwani hamjawahi kuona mtu anatokea kumpenda tu mtu pasipo kumhitaji kimapenzi?huwa inatokea tu jamani msipende kutuhisi vibaya mda wote.
 
mm sio mvulana bali namuonea huruma huyo anayesikiliza sifa za mwanaume mwenzie wakati yy hapewi
 
Sidhani kama una haja ya kupanic sana mkuu..
Manake tayari kaishakuondolea mashaka kuwa atakayeolewa naye atapata raha sana..hofu ya nini tena!!..Je? kama hakwambii hivo lakini tayari anamfeel rafiki yako??..
Nadhani sio vizuri kila wakati kufikiri 'negatively'..kwa maana hiyo hata wewe huwezi kumsifia shemejio..mfano:mdogo wako mtulivu sana atakayemuoa kapata mke!!..ina maana huwezi sema hivyo???

dah mkuu umegusa point may b gal hana lengo baya wala nn. Ni watu tu kauli kama hizo wanahisi vibaya.
 
Back
Top Bottom