Njia panda!!

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Jamani mwenzenu niko njia panda kuna msichana ananipenda sana na amenitamkia waziwazi sasa kwa upande wangu mimi simpendi na kumwambia namuonea huruma na sijawahikuchakachua nae,ila kuna msichana mwingine ninampenda sana lakini yeye hataki nimuoe coz amenizidi umri kidogo kama miaka mitano hivi na pia dini ni tofauti na huwa tunachakachua sana sasa cjui nfanyeje,mchango wenu wadau pliz!
 
hahahaha.....sasa kuwa kweli tuu mwana usimpe matumaini ambapo hayapo. maana nawe usingependa ufanyiwe hivyo

huyo unayechakachuana ni safi mana kakwambia ukweli ...sasa wewe endelea kuchakachua lakini ujue kabisa kuwa hamna anything serious kitakachotokea.
 
Kaka kwenye ndoa kamwe usjie kuingia mkataba na mtu usiyempenda, itakusumbua na kamwe hutakaa uridhike naye. Utaendelea kuchakachuana na yule umpendaye hata baada ya ndoa na matokea yake itakuwa ni zoezi la kufumaniana na kupelekeana kesi kwa ndugu na marafiki kila siku huku ndoa ikigeuka kuwa ndoano badala ya furaha na amani. Usijepotezee muda na wala usimpotezee muda. Nafikiri smwambie ukweli tu kuwa humfeel.

Pole kwa hii changamoto.
 
Jamani mwenzenu niko njia panda kuna msichana ananipenda sana na amenitamkia waziwazi sasa kwa upande wangu mimi simpendi na kumwambia namuonea huruma na sijawahikuchakachua nae,ila kuna msichana mwingine ninampenda sana lakini yeye hataki nimuoe coz amenizidi umri kidogo kama miaka mitano hivi na pia dini ni tofauti na huwa tunachakachua sana sasa cjui nfanyeje,mchango wenu wadau pliz!
naamin mm ni handsome zaid yako,nina elimu nzuri zote ba na ma nimepiga mbele,kwa kifup nina sifa zote bora na hela ninayo,keshokutwa ntakuwa bongo sasa cha kufanya wewe nipe namba yake ila awe tayari kupima ngoma(wote tutafanya hivyo),naamin atanipenda zaid kuliko wewe kisha wewe endelea na huyo wako.
 
Back
Top Bottom