mke wa pili!

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu!
Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa kuvumilia mwenzenu!
 
kaka ushauri wangu ongeza ila utakayeongeza jua ratiba zake kabla inawezekana ikawa mara moja kwa mwezi ukalazimika kuongeza mwingine tena, angalizo: ratiba zao zisiingiliane.
 
Kama kigezo ndio hicho tu umeangalia/zingatia, then probably utakonda zaidi.... Kuna mengine pia ya kuangalia... kama vile uwezo wa kuweza leo hao wake wawili. Jaribu kuongea na mkeok kaka....
 
kaka mimi sikushauri kuongeza kwani hata huyo unaye ongeza atakuja na mapungufu yake. the good thing to do wewe ongea naye unamwogopa nini? mwambie kuwa yeye hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa wewe mumewe,na wala wewe huna mamlaka juu ya mwili wako isipokuwa yeye mkeo.msinyimane ila peaneni mkiwa mmeagana na mkimaliza msali ili shetani asije akawajaribu. kisha mrudiane tena baada ya kusali ili kumaliza kabisa tamaa zenu. hayo yameandikwa katika biblia. pia mwambie mkeo mke mwema mumewe hujulikana malangoni pa watu wengine kwani huvishwa na kutunzwa na kupatiwa huduma zote na pia walalapo wawili wapata ijara njema. msaidie akuridhishe
 
ONGEZA bana......Ilo tango pole kazi yake moja tu ....kulindimisha kama poker vibrator around reinforcemet to make good compaction around internal fluid like....(@).......

ungeza uchape ilale acha kuilea-lea, wape wafaidi.
 
Mapenzi ni lugha na kauli ya kushawishi linapokuja swala la gem. Jaribu kuongea na mwenza vizuri, mjengee mazingira ya kunyegeka, atakupa mchezo bila wasi. Mapenzi ni sanaa asili, haisomewi, jaribu kutumia skills na talent yako!
 
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu!
Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa kuvumilia mwenzenu!

Kanunu fijo nkamu_ongela unkikulu ugwa bubili,..........imitala minunu fijo....ahahahahaaaaaaaaaaa_nine ngwitika mwalafyale!
 
Mwanaume hawi mwanaume kamili, mpaa akamilishe wanawake wanne.

Hongera sana ukisha ongeza mke wa pili, nipe details vipi 1st wife kaenda kwao au kabaki hapo hapo kwako.

Mimi hapa nikitania tu nataka kuongeza 2nd wife nyumba ina waka moto, sijui mwenzagu au utaoa kisiri siri.
 
Wenzako siku hizi hawaoi, bali wanakuwa na nyumba ndogo. Yaani uoe mke wa pili mkuu, unatafuta pressure? Nyumba ndogo ikukoboa unaimwaga on the spot, sasa mke mkuu, unataka kuongeza na watoto pia au unataka kufanyeje? Tafuta kabinti kazuri huko kapangishie mtaa wa pili unamaliza njaa zako zote, homu unarudi kulala tu.
 
Kama bi mkubwa hana tatizo na kama bi mdogo mtarajiwa naye hana tatizo na ukewenza kwa nini usiongeze? Ongeza tu ili mradi wote muwe mmeridhia.
 
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu!
Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa kuvumilia mwenzenu!

na huyo akikupa kalenda yake utaongeza watatu?
 
Kama kigezo ndio hicho tu umeangalia/zingatia, then probably utakonda zaidi.... Kuna mengine pia ya kuangalia... kama vile uwezo wa kuweza leo hao wake wawili. Jaribu kuongea na mkeok kaka....

Wee AshaDii acha kumshupalia mwenzio hivyo..........ndoa ya wake wengi si wapaswa kuifurahia..................maana hizo si ndizo jadi zenu za kiimani?
 
Ni vema ukalijadili na mkeo kikolo, kama ataridhia uongeze au atabadili ratiba na kukuacha uipange wewe kuhusu majambozi.
 
Ongeza wa pili kama hali na mali vinaruhusu ongeza wa tatu na nne kama Zumo, ila nawe jiandae kusaidiwa unapokuwa kwenye mzunguko kama hali haikurusu kuwakinaisha kwa wiki nzima.
 
Back
Top Bottom