Search results

  1. Simbamteme

    Shimo la choo kujaa maji

    Kiswahili hapo kimekuwa kigumu aisee Nnachomaanisha...bomba linalotoa maji machafu ya chooni kutoka kwenye nyumba kwenda kwenye shimo la choo kwa kawaid huwa tunalichimbia chini..yani huwa inapita chini kwa chini hd kwenye shimo Sasa shida ni kuwa kpnd cha mvua maji yakiwa mengi kwenye shimo...
  2. Simbamteme

    Shimo la choo kujaa maji

    Nishawahi kupost hii inshu..pitia post zangu ila kwa kifupi tu ndugu Usiingie gharama kubwaaaaa,fanya hivi Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako...
  3. Simbamteme

    May our enemy work unknowingly in our favour

    Katika baa moja nchini Marekani aliingia mwanamme mmoja MZUNGU na kukuta bar ina watu wengi sana na imejaa WAZUNGU TUPU kasoro mmama mmoja ambaye alikuwa BLACK..yule jamaa baada ya kuingia akasema kwa nguvu sana "Bartender,wahudumie vinywaji watu wote katika hii bar kasoro huyu mama...
  4. Simbamteme

    Epuka kukata tamaa

    Miaka hiyo muigizaji Sylvester stallon "RAMBO" alipitia msoto wa kufa mtu katika maisha yake,alifulia vibaya mno hadi kufikia hatua ya kuiba mkufu wa mke wake na kwenda kuuza..kama hiyo haitoshi ilifikia hatua alishindwa kumlisha mbwa wake aliyekuwa anampenda sana na kuamua kwenda kumuuza kwa...
  5. Simbamteme

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Huo upuuz ulinishinda..nimekuja kikazi dsm kama miezi 9 hv..kazini ni kawe then mm nimejenga kwa diwani(ukonga) ilikuwa inanibidi niamke saa 11 kasoro kuwah gari...na kazini nafika sa 2 kasoro huko..nikaoma hapana...nikaanza kwenda na kagari binafsi...kwa siku mafuta ya 20k yalikuwa...
  6. Simbamteme

    Mama yangu mzazi kaanzisha mahusiano ya kimapenzi na kijana mdogo, inaniuma sana

    Yaan mpumbavu anakuja kuomba ushauri wa upumbavu wa mama yake...embu kwanza tuanze na upumbavu wako...upo sawa kiakili kweli?
  7. Simbamteme

    Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

    60000 kwa mwezi?like really?embu ongeeni na watu vzr bhana...60k ni hela ya kifurush cha miez 6 na chenji inarud
  8. Simbamteme

    FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Yule kiungo msenegal aisee kama hiki ndo kiwango chake tumepigwaa kbsaa
  9. Simbamteme

    Nimeshtushwa na idadi ya watoto wanaosoma shule binafsi kurudishwa shule za Serikali

    Hv unaweza kuwa na pesa ukampeleka mtoto wako serikalini...?ww kama hela huna tulia...usijitekenye na kucheka mwenyewe
  10. Simbamteme

    Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    Yan mwanamke bdo hujaoa then unaweweseka hvyo?....
  11. Simbamteme

    Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Imenubd nije zangu sinza kuchill tu...walirudsha sa 9 ucku ukakaa kdg wakakata
  12. Simbamteme

    Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Wabongo bwana..sijui mnaona hizo kazi ndogo hazina hela ama vpi...mnadhan kukaa ofisin kuvaa vizuri ndo kuwa na hadhi inayoendana na elimu yako?...na ndo maana wasomi wengi wanaogopa kufanya vikazi hv vidogovidogo wanaogopa kudhalilika Kuna dogo mmoja nipo nae pale mtaani..ni form 4...
  13. Simbamteme

    Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kawekeza yule...acha apate maokoto...ngilimba wanazopitia na hela zinavyowatoka kpind cha uchaguz c mchezo..!!
  14. Simbamteme

    Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

    Hakuna lolote zaid ya kumpa mimba mtoto wa watu
  15. Simbamteme

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yan hiki kikosi hata sikielew...Kwa nn anamchezesha amrabat bek ya kushoto?kwa nn asicheze na beki 3 then amrabat asogee kati...ila kocha anajua zaidi...ngoja tuone
Back
Top Bottom