Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.

Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Tumia vitu roho inapenda.

Niko zangu hapa napata Heineken
 
Dstv ni Jiwee,
Hasa Hicho kifurushi cha 60k
Mimi azam ukitoa
MBC 2, Max na KiX
Nyingine ni za Ma hause girls.

Hivi azam wana channel nzuri za documentary, science/technology kweli?
Azam ipo Travel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom