Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,666
18,345
Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
 
Imenubd nije zangu sinza kuchill tu...walirudsha sa 9 ucku ukakaa kdg wakakata
 
Mpaka sasa hivi bado umeme ni kitendawili maeneo haya. TANESCO
toeni kauli
 
Back
Top Bottom