Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

Hao wanarudi nyumbani kuoga, kula, kubadili nguo na kuondoka tena!! Kidogo usiku wa Ijumaa na Jumamosi wanaweza kulala na kuamka!
 
Naona ni hasara nakaa ila sababu tu ya mke na watoto, ila nakaa 32 kms to my working place.Imagine ninatumia mafuta ya 20 Tsh kwa siku gari ni CC 1990.

Hata transport fees ya watoto wangu ni kubwa shule.

Nini zaidi ya milioni familia tunatumia kwa usafiri mimi mke wangu na watoto
 
Naona ni hasara nakaa ila sababu tu ya mke na watoto, ila nakaa 32 kms to my working place.Imagine ninatumia mafuta ya 20 Tsh kwa siku gari ni CC 1990.

Hata transport fees ya watoto wangu ni kubwa shule.

Nini zaidi ya milioni familia tunatumia kwa usafiri mimi mke wangu na watoto
Ukiwa na mshahara wa million zaidi ya 5 kwa mwezi unaweza ishi kwa uhuru tu Dar es Salaam hata ukiishi chamazi
 
Ukiwa unasoma unaamka saa 11 alfajiri uwahi shule, umeajiriwa unakaa Chanika unaamka saa 10 alfajiri uwahi kazini Posta. qumamamake, unapumzika ukiwa umestaafu...

Unapumzika ukiwa umekufa

Popote nilipo, ninapofanya kazi na Nina pois hi max nitumie DK 10. Zaidi ya hapo hapana

Nimejiwekea hivo
Wakati nipo TZ nilikuwa pale ocean Road , nilikuwa naishi upanga apartment za upanga
 
Chanika is roughly 35KM from city center. Mabwepande is hardly 40KM. Si mbali, shida ni miundo mbinu ya nchi ni mibaya. Subway zingekuwepo mbona fasta tu.
Ila sidhani kama mpaka zama hizi kuna watu wanaishi huko na kufanya kazi mjini, ni upungufu wa maarifa.

Mama anaupiga mwingi

CCM oye

Nilikimbia bongo kwa maisha ya hovyo

Mtu kama JK makamba na samia, pesa walizokuwa nazo tu wanajenga barabara 4lanes from chanika to posta bunju tu posta

Shida viongozi waafrica sijui wanatatizo gani

Yaani nje za wenzetu jamani haya mambo waliacha miaka mingi snaa
 
Huo upuuz ulinishinda..nimekuja kikazi dsm kama miezi 9 hv..kazini ni kawe then mm nimejenga kwa diwani(ukonga)

ilikuwa inanibidi niamke saa 11 kasoro kuwah gari...na kazini nafika sa 2 kasoro huko..nikaoma hapana...nikaanza kwenda na kagari binafsi...kwa siku mafuta ya 20k yalikuwa yananitoka..nikaona cha kufia nn..nikamwambia wife hapana..haya maisha siyawezi..sijazoea hizi shida mkoani kwangu...so nikaamua kupanga kachumba cha kizushi tu kawe

Saa 1 na dk zake ndo naamka..natembea kwa miguu kufika kazini...nyumbani narudi ijumaa hd j2 jion nageuka...maisha yamekuwa marahisi sana
 
Mji ulitakiwa uwe na treni zinazojaza watu na kwenda fasta. Huko tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi, maana watu wa pembezoni wanalazimika kununua magari na kuzidisha foleni. Maisha ya kuishi kama mtu anayeenda kuchunga ng'ombe asubuhi siyo maisha.
 
Hakika kuishi DAR kuna RAHA na SHIDA Zake. Shida kubwa ya Kuishi Dar ni Umbali wa kutoka unapoishi na unapofanyia shughuli zako za kila siku. Kama Mtumishi wa Umma anayeishi Mabwepande au Chanika na anafanyia shughuli zako Posta na unatakiwa kuripoti Ofisini saa 1.30 iwe una usafiri binafsi au wa Umma.

Je unapaswa kuamka saa ngapi?
MIMI NINAKAA CHANIKA NA NAFANYA KAZI KIBAHA KWA MATHIAS,MUDA WA KUINGIA KAZINI NI SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI,SAA 10 USIKU NDO NATOKA HOME,NIKITOKA NA DK 20 TU,NIMESHACHELEWA.
WABONGO WAVIVU SANA WA MAISHA.
 
Back
Top Bottom