Shimo la choo kujaa maji

Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji.

Wataalam tusaidiane hapo nitumie njia gani?

NB: Chini halijapigwa zege limejengewa pembeni tu kwa mawe
Mpigie huyu Fundi +255786549131 atakusaidia sana
 
Hapa sijakuelewa kabisa

"Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako limwage maji kwa juu"

Bomba gani linalotoa maji ndani?
Kiswahili hapo kimekuwa kigumu aisee

Nnachomaanisha...bomba linalotoa maji machafu ya chooni kutoka kwenye nyumba kwenda kwenye shimo la choo kwa kawaid huwa tunalichimbia chini..yani huwa inapita chini kwa chini hd kwenye shimo

Sasa shida ni kuwa kpnd cha mvua maji yakiwa mengi kwenye shimo yatapanda juu na yatalifikia hilo bomba jambo ambalo litasababisha maji yanayotoka ndani yashindwe kuingia kwenye shimo na kusababisha yarudi ndani..yaani uki flash maji hayataenda

Sasa nilichomaanisha ni kuwa hilo bomba usilichimbie chini..lipitishe juu then li SET limwage maji kwenye shimo kwa kupitia juu(kama shower ya bafuni inavyomwaga maji)

Kwa kufanya hvyo kwanza maji hayawez kurudi ndan hata mvua inyeshe vipi

SIJUI UMENIELEWA?
 
Hapo si itategemea msingi wa nyumba yake ulivyo? Kama nyumba iko chini sana sidhani kama itawezekana. I mean usawa wa nyumba ni lazima uwe juu kabisa kulinganisha na shimo. Au pengine sijakuelewa vizuri.
 
Suluhisho lako ni mimi!

Nitakujengea Shimo lisilo jaa maji taka! ( Ukipenda tutaandikishana endapo litaleta shida niwajibike)

Gharama za Shimo kwa maeneo yenye unyevu kwa wakazi wa Dsm ni Tsh 1,400,000 na Mikoani nakufata kwa Tsh 1,600,000

Gharama za Shimo kwa maeneo makavu yasiyo na unyevu kwa Wakazi Wa Dsm ni Tsh 1,200,000 na mikoani nakufata kwa Tsh 1,400,000

Gharama hizi ni mjumuisho wa Gharama zote ufundi na material...Nakukabidhi shimo tayari kwa matumizi

0789005562

Safarini Dodoma
 
DODOMA...Dodomaa OFFER YA MILLION 1

(USISUBIRI MPAKA MAJANGA YAKUKUTE)

-HUTUMIKA ENEO DOGO ZAIDI.
-CHOO HAKIJAI KIPINDI CHOTE CHA MATUMIZI.
-HUSTAHIMILI SEHEMU ZENYE CHEMCHEM NA MAJI MENGI.
-HAUTOI HARUFU.
-HAUNYONYWI KABISA.

GHARAMA YA MFUMO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NI TSH.1,200,000 NA NJE YA DAR ES SALAAM NI TSH.1,400,000....Ila kwa wakazi Wa Dodoma Kuna offer yenu Ya TSH. 1,000,000

BEI HII INAHUSISHA GHARAMA ZOTE ZA KUANZIA NYEZO ZA UCHIMBAJI PAMOJA NA UFUNDI.

KWA MAWASILIANO ZAIDI KIBIASHARA AU USHAURI TUPIGIE 0789005562 AU UNAWEZA KUTUMA UJUMBE WHATSAPP kwa link hii wa.me/255789005562

KARIBUNI SANA Geniuz Hk KUPATA HUDUMA ZA UHAKIKA KUTOKA KWA MAFUNDI WETU WENYE UTAALAM MKUBWA WA KUTENGENEZA VYOO VYA KISASA VISIVYOJAA KABISA.

#ujenzi #ZanzibarMpya #zanzibarisland #zanzibar #septictankmaintenance #septictank #septictankcleaning #septic #septictankservices #hk #vyoovisivyojaa
IMG-20240321-WA0017.jpg
IMG-20240321-WA0016.jpg
IMG-20240321-WA0015.jpg
IMG-20240321-WA0011.jpg
IMG-20240321-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom