Search results

  1. J

    CCM haina itikadi (Political Party Ideology)

    Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI. Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
  2. J

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

    Nimemsikia makamu Mwenyekiti wa CCM ndugu Philip Mangula juzi akiwa ktk ziara zake sambamba na katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru wakijigamba kwamba,uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watapenya,kwamba hawawezi kushinda hata jimbo na kata yoyote. Kauli hii...
  3. J

    Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita aungwe mkono kwa dhati

    Wanabodi, Oneni jinsi gani mstahiki meya wa Jiji anavyolitizama jiji la Dar es Salaam kwa jicho la tatu, katika tu kuhakikisha Dar es Salaam ni jiji salama kwa wananchi kuishi na kuendelea na shughuli za kujiletea maendeleo. Nashauri aungwe mkono pasipo kujali itikadi Dar es Salaam is one of...
  4. J

    CCM wakimbilia mahakamani kuzuia uchaguzi wa Meya kesho

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba CCM wako mahakamani muda huu wakitafuta hati ya kimahakama kuzuia uchaguzi wa kumpata Meya wa Jiji la Dar es salaam usifanyike kama ilivyokuwa imetangazwa hapo awali, na kama barua za mialiko kwa wajumbe wa kikao hivyo zinavyoelekeza. Aidha sababu...
  5. J

    Ni wiki ya uchaguzi wa Meya jijini Dar es salaam

    Salaam kwenu wana bodi, Ni asubuhi njema ya Jumatatu ya tarehe 1/2/2016, Ni wiki ya kuelekea uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam, ambao kama hautaahirishwa tena baada ya kushindwa kufanyika mara mbili hivi, basi umepangwa kufanyika tarehe 8 February, 2016 ktk ukumbi wa Karimjee. Nimeona...
  6. J

    Naibu Waziri, Stephen Masele apigwa huko Shinyanga (Ufungaji Kampeni S/Mitaa)

    Wanajukwaa kama ilivyo ada kwa maccm kushinda uchaguzi kwa njia haramu, jana usiku Mbunge aliechakachua ubunge halali wa marehemu Shelembi wa chadema, Stephen Masele jimbo la shinyanga mjini, alikamatwa akigawa rushwa. Makamanda wa CHADEMA ,RB walikuwa wakifuatilia nyendo zake pasipo yeye...
  7. J

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    Taarifa zilizonifikia hivi punde, ni kwamba genge la mafisadi lililoko bungeni huku likiongozwa na Samwel Sitta, tayari limeshasambaza wapambe ambao ni makada ya maccm ambayo pia ni wajumbe wa BMK, wamewapigia simu, kuwataka maridhiano, wajumbe waliopiga kura ya hapana, Pia genge lingine...
  8. J

    CCM na ubovu wa barabara

    Ktk pita pita zangu ,leo nimepita Kariakoo mtaa wa Swahili nikakuta barabara imefungwa kwa sababu imejaa maji na kuna mashimo marefu ambapo wananchi wameweka alama za bendera nyekundu, kama ishara ya hatari, nikajiuliza sana, miaka 50 ya uhuru, kwenye nchi yenye rasilimali za kutosha, yakiwemo...
  9. J

    Dr Kigwangala si member wa Medical Association of Tanzania(MAT)

    Taarifa nilizozipata kutoka kwa daktari wa tiba ni kwamba Kigwangala si member wa MAT, ameondolewa.taarifa zilizopo ni kwamba ni kwa sababu ya kuidhalilisha taaluma ya udaktari kutokana na anayoyatenda hasa awapo bungeni, Lakini namuuliza kama amekuwa akiikana Tanganyika je leseni yake ya...
  10. J

    Nape toa ufafanuzi: CCM inaongozwa kwa katiba ipi ?

    Ni vema Nape Nnauye uje hapa utoe ufafanuzi juu ya katiba ya chama chenu,kwamba : Kama mnatumia katiba ya toleo la 2012 katiba ya chama cha mapinduzi 1977,je ni kweli kwamba ccm ni chama cha wakulima na wafanya kazi kama sehemu ya kwanza ya katiba yenu inayo zungumzia jina,Imani na...
  11. J

    Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

    Sakata la kuchoma makanisa limeendelea tena baada ya kanisa la Baptist Vingunguti kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane na robo. Watu wasuojulikana walionekana kwenye eneo hili la kanisa na kuwasha moto,nyumba jirani kuna binti alitoka kujisadia kwenye choo kilichoko nje,na...
  12. J

    Live updates kutoka Mlimani City kwenye mdahalo

    Wanajamnvi niko hapa mlimani city kwenye mdahalo na tayari kuna wachokoza mada akiwamo Tundu Lisu na Kamishina wa tume ya mabadiliko ya katiba ndugu Hamphrey Polepole,muandaaji ndugu Marcus Alban na muwakilishi kutoka mtandao wa mashirika yanayoshghulikia haki za binadamu mama Kamsama
  13. J

    Utata wa afya za watoto Kinyerezi

    Nimepokea taarifa muda mfupi kutoka Kinyerezi jijini Dar es salaam ya kwamba kuna watoto 6 wa shule ya msingi Kinyerezi iliyoko Dar es salaam wilayani Ilala wamezimia baada ya kupewa dawa za kinga ya Minyoo zilizokuwa zinafanyiwa majaribio.lakini kwa mujibu wa taarifa zilizonifikia ni kwamba...
  14. J

    Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    Katika hali isiyo ya kawaida makamanda watano waliokuwa wanatangaza mkutano wa kesho ulioandaliwa na muungano wa vyama vitatu,chadema,CUF na NCCR ,wamekamatwa na polisi wa kituo cha sitaki shari,kilichopo Ukonga,kwa kosa la kutangaza mkutano.waliokamatwa ni; 1.Daniel Raymond _mwenyekiti wa...
  15. J

    Dr W Slaa kuongoza mabaraza ya katiba kesho

    Wana jukwaa,habari nilizozipata kutoka kwa katibu mwenezi jimbo la Segerea,ni kwamba kesho katibu mkuu wa CDM Dr W Slaa ataongoza mkutano wa hadhara wa mabaraza ya katiba katika majimbo matatu ya mkoa wa Dar es Slaam.mikutano hiyo ya kesho tarehe 24/08/2013 itaanzia jimbo la Kigamboni...
  16. J

    CHADEMA Jimbo la Segerea kufanya mkutano leo

    Wana JF mnaalikwa kuhudhuria mkutano wa hadhara utakaofanyika leo siku ya jumapili,tarehe 18/08/2013 kuanzia saa nane mchana,mkutano huo utafanyika Tabata shule,mkutano utatanguliwa na kutoa maoni ya katiba mpya,kuzindua ofisi mbili za matawi ya Msimbazi na Mtambani ambayo yapo kata ya...
  17. J

    CHADEMA kwa hili wawe makini kwenye chaguzi za ndani za chama

    Habari za uhakika kutoka kwa kiongozi wa chama ngazi ya jimbo alieibiwa Tablet(Mircomax P560) siku ya tarehe 15/06/2013,siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa udiwani,zinasema kuwa Ipad hiyo imepatikana jana baada ya mwezi mmoja kupita ikiwa mikononi mwa mwizi alieiiba. Uangalifu ninao uomba hapa...
  18. J

    Msaada ku-unlock tablet micromax funbook

    Wakuu leo yapata mwezi tangu nilipoibiwa Ipad yangu aina ya Micromax P560,jana mchana nikaipata kutoka kwa mwizi wangu lakini kutoka na mazingira ambayo nilimkuta kule Mbande-Machimbo,akiwa amekaa kwenye nyumba ambayo inaendelea kujengwa akiwa na wenzie watatu,sikuweza kufanya uchunguzi zaidi...
  19. J

    News alert:Nyumba yaungua moto Temeke

    Niko eneo la tukio mtaa wa Kitunda-Tandika wmanispaa ya Temeke,kuna nyumba inaendelea kuungua moto huku gari la kikosi cha zima moto halionekani ili hali wananchi wamepiga simu za kuomba msaada,hali hii inafuta usemi wa maisha bora kwa kila mtanzania kama huduma inachelewa kiaasi hiki wakati...
  20. J

    CHADEMA jimbo la Segerea yaanza ziara

    TAARIFA KWA UMMA Sekretarieti ya jimbo la Segerea inawataarifu viongozi wote wa kata,wanachama na wapenda mabadiliko kwamba,katika kufuatilia utekelezaji wa shughuli za kila siku za chama,imeanza ziara kwenye kata nane za jimbo la Segerea kukagua utekelezaji wa kazi cha kila siku za chama kwa...
Back
Top Bottom