CHADEMA Jimbo la Segerea kufanya mkutano leo

CHADEMA Jimbo la Segerea kufanya mkutano leo

jigoku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,411
Reaction score
733
Wana JF mnaalikwa kuhudhuria mkutano wa hadhara utakaofanyika leo siku ya jumapili,tarehe 18/08/2013 kuanzia saa nane mchana,mkutano huo utafanyika Tabata shule,mkutano utatanguliwa na kutoa maoni ya katiba mpya,kuzindua ofisi mbili za matawi ya Msimbazi na Mtambani ambayo yapo kata ya Tabata.kamanda Msigwa,Bananga Ally na wengineo watakuwepo kulitawala jukwaa.
Aidha kuanzia asubuhi saa nne wananchi wataanza kutoa maoni yao juu ya katiba mpya.
Wapenda mabadiliko wote mnakaribishwa,mlioko mbali na Dar jiandaeni kupata updates kutoka kiwanjani
 
Sijawahi ona jimbo lenye viongozi dhaifu wa chadema kama jimbo la segerea mikutano hamna viongozi wanashinda makao makuu tu huku jimboni kwao hamna uamasishaji wowote, ofisi ya kata ya segerea haijawahi kufunguliwa watu tunaishia kuchanga hela lakini haifunguliwi ni wizi mtupu upo chadema segerea.
 
Kwanza wewe unaonekana sio mwanachadema maana kama tuhuma hizi ni za kweli ungefuata taratibu za vikao.Kanuni,Itifaki na maadili ya chama yapo wazi.

Ofisi ya kata ya Segerea inafunguliwa kila siku.Karibu kwenye mkutano .Watu wanamiminika muda huu.
 
Unajiongopea na kwa kuwa wana ccm mna macho lkn hamuoni,mna masikio lkn hamsikii,mna pua kubwa lkn haziwezi kunusa,mna ubongo lkn unawaza ufisadi,kuuza sembe,kutorosha wanyama na wala hamjui mnachokisimamia na japokuwa chama cha cha majambazi mna katiba lkn iko sandukuni na wote hamuisomi ndio maana mna piga kelele zisizo na tija,endeleeni kuchonga kama ambavyo kikundi chenu kinachoongozwa na John komba kilivyo.
Hivi nikiwauliza je mnaijua katba yenu ya chama?ajitokeze Nape,Mwigulu ama yeyote mwenye kiherehere aseme anaijua katiba ya ccm nimpige na hoja ya ukweli right now
 
Hamna kazi za kufanya? Kila siku porojo za siasa tu!

By NATURE, "A MAN" IS a POLITICAL ANIMAL.......
Kwa hiyo usishangae japo ni vigumu kwa mwana- CCM kuelewa undani wa maana yake!
Twaja kwa mkutano,,,
Naelekea kupanda gari la UBUNGO-TABATA/SEGEREA/KINYEREZI...
Tehe!
 
Kwanza wewe unaonekana sio mwanachadema maana kama tuhuma hizi ni za kweli ungefuata taratibu za vikao.Kanuni,Itifaki na maadili ya chama yapo wazi.

Ofisi ya kata ya Segerea inafunguliwa kila siku.Karibu kwenye mkutano .Watu wanamiminika muda huu.

Mkutano unaendelea kamanda Msigwa ameshuka jukwaani anaondoka kupanda ndege kwa ajili ya kazi ya kamati ya kudumu ya maliasili,amepanda jembe Ally Bananga nitawajuza anachoongea
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376836898478.jpg
    uploadfromtaptalk1376836898478.jpg
    66.1 KB · Views: 756
  • uploadfromtaptalk1376836948907.jpg
    uploadfromtaptalk1376836948907.jpg
    49.2 KB · Views: 166
  • uploadfromtaptalk1376836975007.jpg
    uploadfromtaptalk1376836975007.jpg
    51.6 KB · Views: 169
lete kinachoendelea kamanda .

Kamanda Bananga anasema,alipokuwa mjinga alikuwa mwanachama wa ccm,alipokuwa ---- alishabikia ccm,alipokuwa ----- alidhani ccm ni mkombozi wa watanzania,anasema ccm ni kama familia kambale kila mtu ana ndevu na ndio maana wamepingana ktk kuwafukukuza madiwani wa Bukoba.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376837858231.jpg
    uploadfromtaptalk1376837858231.jpg
    46.4 KB · Views: 53
lete kinachoendelea kamanda .

Ili kuonyesha ulimwengu kwamba watu wameamua kupeleka ujumbe hata kwenye familia na hasa watoto ili wajue ni kwanini wanakaa chini wakienda shuleni,kamanda huyu ameamua kuja na wanae ili wasikie sera za ukombozi na wachangie maoni ya katiba mpya,hasa kuhusu haki za watoto wa kitanzania
 
Mkutano unaendelea kamanda Msigwa ameshuka jukwaani anaondoka kupanda ndege kwa ajili ya kazi ya kamati ya kudumu ya maliasili,amepanda jembe Ally Bananga nitawajuza anachoongea

Makamanda baadhi waliohudhuria
 
Back
Top Bottom