Msaada ku-unlock tablet micromax funbook

jigoku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,411
Reaction score
733
Wakuu leo yapata mwezi tangu nilipoibiwa Ipad yangu aina ya Micromax P560,jana mchana nikaipata kutoka kwa mwizi wangu lakini kutoka na mazingira ambayo nilimkuta kule Mbande-Machimbo,akiwa amekaa kwenye nyumba ambayo inaendelea kujengwa akiwa na wenzie watatu,sikuweza kufanya uchunguzi zaidi kujua tablet yangu ina nini,zaidi nilivyoona inawaka basi niliondoka.

Kilichotokea ni kwamba aliweka laini yake ya Voda ambapo kila nikiweka laini yangu inaniambia Emergence call,kimsingi inanitaka niweke password.nilipompigia kwenye laini yake ya Tigo hakunipa ushirikiano maana aliniambia yeye hajaifanya kitu.lakini inaniomba password.
Je nifanyaje? naomba nisaidiwe namna ya kufanya.nina kila kitu kinachokuwemo kwenye box wakati ikiuzwa.
 
mkuu inaitwa TABLET na si IPAD. endelea kutafuta solution ukikwama kabisa itabidi uiformat utapoteza data zote ila itarudi hali yake ya kawaida
 
Wakuu leo yapata mwezi tangu nilipoibiwa Ipad yangu aina ya Micromax P560,jana mchana nikaipata kutoka kwa mwizi wangu lakini kutoka na mazingira ambayo nilimkuta kule Mbande-Machimbo,akiwa amekaa kwenye nyumba ambayo inaendelea kujengwa akiwa na wenzie watatu,sikuweza kufanya uchunguzi zaidi kujua tablet yangu ina nini,zaidi nilivyoona inawaka basi niliondoka.

Kilichotokea ni kwamba aliweka laini yake ya Voda ambapo kila nikiweka laini yangu inaniambia Emergence call,kimsingi inanitaka niweke password.nilipompigia kwenye laini yake ya Tigo hakunipa ushirikiano maana aliniambia yeye hajaifanya kitu.lakini inaniomba password.
Je nifanyaje? naomba nisaidiwe namna ya kufanya.nina kila kitu kinachokuwemo kwenye box wakati ikiuzwa.

Chief mkwawa nashukuru kwa ushauri wako.niliufanyia kazi na sasa tablet inapiga mzigo
 
Back
Top Bottom