Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu!
Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha!
Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
Unaweza Kuagiza online ukiwa Tanzania. Cha msingi ni kufata tarabibu zote za kununua ukiwa mbali ya nchi.
Kuhusu Corona, China wamerudi makazini kama kawaida na sio kua hali imekaa 100% kama zamani lakini wamevuka 90% na haifahamiki lini watafungua milango ninadhani mpaka kupoe sana sehemu ya...
Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu!
Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha!
Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni.
Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
kwa vitu vidogo ambavyo chini ya kg 10 tunatumia sana usafiri wa ndege, kidogo ni ghali japo ndani ya siku 7-9 tunakua tumepata mzigo hapa Tanzania, gharama dola 7.8 /kg na ukifika hapa ni dola 3.
Silent ocean si kampuni pekeyao wanaofanya mzigo kuja Tanzania, kuna Choice International, na wengine, pia silent ocean wanafanya loose cargo jaribu kuongea wahusika directly. asante
Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru!
Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba (Made in China).
Kwanza kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru!
Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China)
Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
Machine hii inaweza kukusaidia kutoa manyoya kuku wako kwa haraka zaidi.
Kunyonyoa kuku 90-120 kwa saa na haichukui umeme mwingi kabisa.
Kama unahitaji niconnect.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.