pesa mtandaoni

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kuweni Makini na Dar Expart Sales na utapeli wa Pesa Mtandaoni

    Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar Expart Sales" au "Arusha Expart Sales" unatangaza kuuza bidhaa za ndani kwa bei ya "vunja bei."...
  2. ELIA MWAPINGA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  3. MAFIA MGAX

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa njia ya mtandao?

    Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  5. Heritage123

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Geuza simu yako kuwa ofisi yako. Tumia bando kupata pesa mtandaoni

    Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni: 1. Kufanya Kazi huru (Freelancing): - Unaweza kutumia majukwaa kama Upwork, Fiverr, na Freelancer kutoa...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  8. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  11. Jackson News

    JamiiForums Tanzania The Ultimate Guide to Starting a Blog in 2024 in December

    Introduction: Why Blogging in 2024? Starting a blog in 2024 offers incredible opportunities for personal expression and financial gain. With advancements in technology and digital marketing, blogging has become more accessible and rewarding. Whether you're aiming to share your passion, build a...
  12. S

    JamiiForums Tanzania tiGO wana shida za mara kwa mara, tatizo ni nini? Toka saa moja jioni tiGO Pesa haipatikani

    Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao. Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma. Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi. Unakuta mtu ulikuwa na mambo yako ya msingi ya kufanya lakini unapata hasara kwa sababu ya huu kila mwezi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PesaX / CashX (Singularity) wanatumia taarifa binafsi za watu na wanakiuka mamia ya sheria Tanzania

    Ndugu zangu wa Tanzania, Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity". Sijawahi kukutana na kampuni inayoendeshwa hovyo kama hii! Nimekuwa nikikopa pesa mara kwa mara kutoka...
  14. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  16. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Ipi njia rahisi kutuma fedha nje ya nchi?

    Samahani, hivi ni njia ipi rahisi kutuma fedha nchi za nje?
  17. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za Kuamini Mungu Yupo

    Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema, sina ushahidi wa kumthibitishia asiyeamini uwepo wa Mungu hata asiweze kuutafsiri vinginevyo; kama...
  18. plan z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  19. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  20. napenda movie

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kupata pesa mtandaoni......?

    Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
Back
Top Bottom